ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,864
Manyerere wewe jamani....kuna mmiliki juzi kwenye BBC (redioni) amekiri wanatumia watoto kwa sababu wao ni rahisi kupenya sehemu za ndani ambazo mtu mzima hawezi kupita....
Hebu pita pita migodi mingi tofauti tofauti ndio utuletee habari kamili mkuu....Hala hala usiende na suti na kamera kuuuubwa shingoni unaweza kukosa habari muhimu.....
Hawa waandishi wetu vyombo vyao havina fedha za kutosha kuwapa wakina Manyerere kufanya utafiti kama huo wa BBC mara nyingi hela zao hutolewa na balozi mbalimbali kupitia jumuiya zao kama LEAT na wanaoenda kwenye hizo tafiti wengi ni bure kichwani.