Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,052
- 18,012
Hata kwenye hivyi viwanda vikubwa nako hawa Osha huwa wanafuata mlungula tu, si vinginevyo
Hivi wewe ni journalist wa aina gani?hata common sense huna? Sasa kama kuna child labour mererani isesemwe? We Ulienda mererani ukakuta hakuna watoto?huu ukanjanja hadi lini?
We si uko huko mwanao wa kumzaa ushamuelekeza kwa maneno na vitendo jinsi ya kupeleka tindo na taarifa, ana uzoefu wa muda gani mpaka sasa????!!!!!
Mkuu umeanza vizuri sana,lakini hiyo RIDHIWANI toa iyo.
Mlete wa kwako kwasabb amekosa malezi ya baba na mama ndo ataweza. maana mnazaazaa tu na hamuwatunzi mnaishia kutelekeza familia na ndio hao wanaokuja huku hakuna mtoto mwenye malezi bora na maisha bora ambae mzazi wake anawajibika kikamilifu utegemee atakuja huku. wakwangu hawezi kuja huku kuja huku kwa maana mimi ni tajiri anapata kila kitu.
Haya sasa matusi! Suala la ajira mererani kwa watoto si kubwa wala la kulazimishwa. Kuna watoto nilibaini wamefiwa wazazi wote. Hao wanaingia pale kuchakuachakua kama ilivyo sehemu nyingine. Ninachokataa ni kile cha kuonesha kama child labour ya pale ni jambo lililobarikiwa na vyombo husika au na matajiri wa migodi.
Bado ni child labour na haihitaji kuwa wameajiriwa na mtu yeyote. Ile tu kuruhusiwa watoto kufanya kazi katika mazingira hayo ni kuvunja haki za watoto na kwa mantiki hiyo ni Serikali ya kulaumiwa.Matusi hayasaidii. Mimi nimesema nyoka hawazami. Wanaokoteza mabaki nje tu
Pale kuna vyama kama arema na tamida vinazuia watoto kuzama. Walioko nje ni kawaida kama ilivyo kwenye fukwe ambako kuna watoto wengi au ktk masoko.
Kwani hakusema Ridhiwa maneno hayo?
kama suala ni child labour , hiyo inaweza hata kuanzia nyumbani kwako, check umri wa house-girl.
Mkuu, tuna makanjanja wengi sana humu. Mwingine ambaye ni Bonafide genuine Kanjanja ni yule jamaa wa kipindi cha Kitimoto
The Boss, hujui kitu. Watoto wapo nje wanaokota tu. Hakuna anayeingia shimoni. Nimekaa miezi miwili pale sikuona mtoto "nyoka" akizama chini. Wanaozama ni wana-apollo.
Nani kawaajiri?