BBC waianika Tanzania tena!

BBC waianika Tanzania tena!

Sikiliza mtu akitaka kukuchafua atakuchafua tu, mm niko hapa merelani kwa zaidi ya miaka 12 kwa maisha ya hapa kuna mji na wakazi wanafamily zao kutoka kwenye mji mpka hapa migodini kuna km 4 na kipindi hiki shule zimefungwa, kwa hy kununua watoto na kuwavalisha nguo chafu na kuwahoji sio kazi isitoshe watoto wa hapa merelani wanapenda pesa vibaya sana,.na kingine nataka niwaambie msicho kijua hakuanaga mtoto aliezaliwa hapa merelani anazama migodini,. Ule msemounaosema kwenye miti hakuna wajenzi unakamilika hapa, kama kuna mtu anaweza kufanya uchunguzi au kutembelea aje atajionea mwenyewe. Na hata ktk 2005 kushuka chin watoto waliokuwepo hapa ni kutoka mikoa mingine na sio manyara wala arusha watoto wa hapa hawataki kazi hii hata watu wazima walio zaliwa hapa hawafanyi kazi hii hawaitaki hata kuisikia


Mkuu uko serious au unatania!!!???????
 
Na pia kwa kipindi 2005 kurudi chi migodi ilikuwa haijaenda mbali lakini leo hii migodi inafikia km 1 na mt 400 kwenda chini mtoto hata weza hy kazi. Kwa kipindi cha nyuma napo watoto walikuwa hawafanyi kazi wao walikuwa ni kutumwa kutoa taarifa tu na vitu vidodog kulingana na umri wao. (Ngoma ya watoto haikeshi) mtoto hawezi (kusomoa) kutoa kiroba masaa 24 ni kitu ambacho hakiwezekani


We si uko huko mwanao wa kumzaa ushamuelekeza kwa maneno na vitendo jinsi ya kupeleka tindo na taarifa, ana uzoefu wa muda gani mpaka sasa????!!!!!
 
Niambie ni mgodi gani? mm niende hapo nikashuhudie maana niko hapa block D

Good, hebu na wewe wakusanye watoto wavalishe nguo chafuchafu uwahoji mkuu kama ulivyodai...si wanapenda pesa na wako tayari ....!!!!
 
Si wamuulize Salim Kikeke tu. Alikua ni Mwanaapollo pale Mirerani.
 
Manyerere Jackton. Nani hakujui kuwa unaishi kwa kukokotoa uwongo kwenye ki gazeti chako feki ili uitwe na kupoozwa na wahusika? Wewe na Masyaga Matinyi ni kansa mbaya na tusi kwenye taaluma. Sijui mmetokea wapi nyie wahuni kwa kweli nyie ni magonjwa tena ya aibu. Akili zenu zimo tumboni
Da, mkuu, mbona umeenda mbali sana, tena nje ya mada. Hakika sina sifa ulizotaja. Huu ni mjadala tu. Nilindie heshima basi.
 
Huyu si mwandishi mkongwe?
Tutarajie nini kwa wale wasio na uzoefu kama wakongwe myopic kiasi hiki?
 
Manyerere Jackton,
Mimi ninakuheshimu sana kwa njinsi unavyotetea raslimali zetu.
1.Pamoja na juhudi nyingi za kuwaondoa manyoka kwenye migodi ili wazizame 800m ardhini au kuchekecha mchanga hasa wa tanzanite lakini juhudi hizo haijafanikiwa sana,bado kuna manyoka wanazama ardhini hasa kushiriki kuwasha milipuko kwani wao ni wepesi kukimbia na kutoka nje kabla ya milipuko kuliko mtu mzima kwa mjibu wa njia za kuingilia na kutokea mgodini.
2.Kwa taarifa zilizopo tanzanite ni madini ya vito ambayo yanapatikana Tanzania tu,na sasa ya mepanda bei yanamnufaisha nini mtanzania zaidi ya Kenya na Makaburu?
 
Hivi wewe ni journalist wa aina gani?hata common sense huna? Sasa kama kuna child labour mererani isesemwe? We Ulienda mererani ukakuta hakuna watoto?huu ukanjanja hadi lini?

Bora umeliona hilo....manake nami sikuelewa...kwa hiyo tunahalalisha ajira hizi za watoto?
 
Hivi wale wanaowaonyeshea vioo vya magari kwenye makutano ya barabara hawawaoni??? BBC si wangeanzia hapa tu??? Mbona mgodini mbali sana au kwa kuwa ni mgodini????
 
Baada ya kufanikiwa kwenye pembe za ndovu, BBC wametukung'uta tena. Safari hii ni kwenye madini ya tanzanite. Wanadai tanzanite inachimbwa na watoto. Wameweka video ya "the gemstone mined by child labour". Huu utakuwa ni mkakati wa makaburu wa tanzaniteone ambao mara zote wameutangazia ulimwengu kuwa tanzanite yao pekee ndiyo halali maana haichimbwi na watoto. Hili ni pigo jingine kwa ndugu zetu wanaotegemea tanzanite kuendesha maisha yao.
===================================




Chanzo;bbc

Haya Mhariri...

Sasa wacha watu waone ukweli sasa.

Tena ni jambo la ajabu sana umekurupuka kurusha tuhuma kwa makaburu bila suffiecient grounds.
 
The Boss, hujui kitu. Watoto wapo nje wanaokota tu. Hakuna anayeingia shimoni. Nimekaa miezi miwili pale sikuona mtoto "nyoka" akizama chini. Wanaozama ni wana-apollo.

Manyerere wewe jamani....kuna mmiliki juzi kwenye BBC (redioni) amekiri wanatumia watoto kwa sababu wao ni rahisi kupenya sehemu za ndani ambazo mtu mzima hawezi kupita....

Hebu pita pita migodi mingi tofauti tofauti ndio utuletee habari kamili mkuu....Hala hala usiende na suti na kamera kuuuubwa shingoni unaweza kukosa habari muhimu.....
 
Manyerere Jackson vipi ulikua miongoni wa walipota tuzo za wanahabari wa sekta ya wanyama pori?
 
Good, hebu na wewe wakusanye watoto wavalishe nguo chafuchafu uwahoji mkuu kama ulivyodai...si wanapenda pesa na wako tayari ....!!!!

afadhali OLESAIDIMU umensaidia kumjibu huyo Nyokamzee maana niliona hata uvivu kumjibu,yule mwandish wa ile habar ni Mtanzania mwenzetu anaitwa Abubak Mfamau,yeye afanye yooote hayo ya kuwavalisha nguo chafuchafu kwa ajili ya nani????
 
Last edited by a moderator:
MKuu, hata wewe unanishambulia!!! Unafuata mkumbo wa wachafuzi?

mkuu nikuule uliona mahojiano yq sofi ikenye na mtanzania mwenzetu salim kikeke ktk idhaa ya kiingereza

ulimuona yule mtoto aliyehojiwa akasema kuwa amepata utajiri kwa kazi hiyo

uliwaona wale watoto waliokuwa pale mzigoni

uliwana waajiri wao wakihojiwa

uliwaona watu wq kupambana na ajira za wototo wakisema

ULITAKA WASEMEJE?
 
Back
Top Bottom