BBC waianika Tanzania tena!

BBC waianika Tanzania tena!

Haya ni matokeo ya sera za kipuuzi za hao hao waingereza na mabepari wenzake. Walituhadaa tukaamini ubepari ndiyo jibu. Kwa mtindo huu, kama mtoto, ama hana wazazi na qalezi, au anao lakini hawana uwezo, lazima aingie kwenyw hii mnayoona ni child labour. Hali si mbaya kama bbc wanavyouaminisha ulimwengu. Hili ni la dunia nzima.

MKUU WW NAHISI NI MFUATILIAJI WA HABARI NA SERA MBALI MBALI, SASA UNATAKA WAO NDO WAJE KUSIMAMIA HIZO SERA ZAO KWETU? NA KWA UFUATILIAJI WAKO KAMA MWANDISHI KWAO UMEONA WATOTO WANAJIHUSISHA NA CHILD LABOUR COZ OF POLICY INITIATORS? TUNATAKIWA KUUNGANA NA HAWA JAMAA ILI WATU WETU WALIOPEWA DHAMANA WATIMIZE WAJIBU WAO KWA MAZINGIRA YA KIAFRIKA HUSUSANI KITANZANIA, SIYO NYIE WENYE FURSA YA KUSEMA KUPITIA MEDIA AVENUE NYINGI MNAANZA KUSUPPORT WATENDAJI KWA KUPUZIA MAADILI YAO. MFANO KUNA ILO CONVENTIONS KIBAO AMBAZO TZ NI NCHI MWANACHAMA LZM UJUE WASIPOKUPO WATU WENYE ETHICS ZA KFANYA FOLLOW UP KWA MEMBER STATES NA KURIPOTI KWA MAPUNGUFU LZM UFAHAM HT HIYO MKATABA HAINA MAANA KBS! SASA WW NAKUSIHI NENDA WIZARA HUSIKA, ILO, NGOs NK UHOJI NDO UTULETEE HABARI MAPEMA. NAKUSIHI HABARI II NI SERIOUS NA WENGI TUNAKUBLIANA NA BBC REPORT HIVYO USIIKIMBIZE JAMHUR J4 KWA MTAZAMO ULIONAO WEWE. MFANO ANZISHA HATA THREAD HUMU JE KUNA AJIRA ZA WATOTO MIGODN TZ? COMMENT ZA WCHANGIAJI UTAPIMA MWENYEWE NA COMPARE NA BBC FINDINGS NA UR PERSONAL PERCEPTION, UTAONA UPI UKWELI.
 
Manyerere Jackton. Nani hakujui kuwa unaishi kwa kukokotoa uwongo kwenye ki gazeti chako feki ili uitwe na kupoozwa na wahusika? Wewe na Masyaga Matinyi ni kansa mbaya na tusi kwenye taaluma. Sijui mmetokea wapi nyie wahuni kwa kweli nyie ni magonjwa tena ya aibu. Akili zenu zimo tumboni
 
Manyerere Jackton vp? Unatafuta fungu la TanzaniteOne nini?

Manyerere Jackton inaonesha ameumizwa na habar ya BBC ila hajaumizwa na vile watoto wanavyotumikishwa,kila jambo likitangazwa na medi za nje zinaitwa propaganda,kuna ujangil hapa,ila watu wa uingereza walivyoripot tukaambiwa propaganda,sasa kama waandishi wa ndan wamefeli si waandishi wote wamefeli,waandishi wanaojua wajibu wao wameripot,na huu ndo uwandishi,na hizi ndizo habar zinazopaswa kuibuliwa,ili watu wachunguze sera na mianya ya sheria
 
Last edited by a moderator:
Manyerere Jackton inaonesha ameumizwa na habar ya BBC ila hajaumizwa na vile watoto wanavyotumikishwa,kila jambo likitangazwa na medi za nje zinaitwa propaganda,kuna ujangil hapa,ila watu wa uingereza walivyoripot tukaambiwa propaganda,sasa kama waandishi wa ndan wamefeli si waandishi wote wamefeli,waandishi wanaojua wajibu wao wameripot,na huu ndo uwandishi,na hizi ndizo habar zinazopaswa kuibuliwa,ili watu wachunguze sera na mianya ya sheria

Ndo yale yale ya Darwin's Nightmare ya mapanki, watu wanaandamana hawali mapanki kumbe watu tunakula balaa kisa mtoa filamu ni mfaransa.Hao BBC wasichoke kuumbua maana waandishi wetu wengi ni makanjanja kama alivyosema Ridhiwani.
 
Last edited by a moderator:
Haya sasa matusi! Suala la ajira mererani kwa watoto si kubwa wala la kulazimishwa. Kuna watoto nilibaini wamefiwa wazazi wote. Hao wanaingia pale kuchakuachakua kama ilivyo sehemu nyingine. Ninachokataa ni kile cha kuonesha kama child labour ya pale ni jambo lililobarikiwa na vyombo husika au na matajiri wa migodi.

mdau unaposema si kubwa unataka liwe kubwa kwa kiasi gan ndo liripotiwe,hata likiwa dogo mfano wa sisimizi,acha liripotiwe ili lisikue,sasa ww mwenzetu tuambie udogo wake na uliwai kuripot walau wana mereran tu wajue,si watanzania wote,uliwai kuuliza mamlaka???,wenzio wamefanya investigative journalism na ndo inayotakiwa,wewe unasema dogo,are u serious???yaan unataka hadi wanao au mtu anayekuhusu afanyishwe hizo kaz ndo ujue kubwa???umefanya utafiti ukajua kuwa ni dogo???,sasa nakwambia child labor Tanzania ipo na kubwa sana kuliko ufikiriavyo,fanya research mdau,soma articles bro usije kusema dogo kwa uelewa wako mdogo
 
Sasa we manyerere kwa mawazo yako ulitaka tuwashtaki BBC kwa kusema ukweli nyie waafrika bwana mkiambiwa ukweli mnaona mnaonewa mmzoea kudanganywa tuu kama jana nimeona rais wa Uganda kafungia kituo cha televition kisa walimuonyesha akiwa amezinzia kwenye mkutano!! Ndo afrika hiyo!!!
 
Ndo yale yale ya Darwin's Nightmare ya mapanki, watu wanaandamana hawali mapanki kumbe watu tunakula balaa kisa mtoa filamu ni mfaransa.Hao BBC wasichoke kuumbua maana waandishi wetu wengi ni makanjanja kama alivyosema Ridhiwani.

nashangazwa na jamaa anavyopinga uwepo wa Child Labor Tanzania,ananishangaza sana huyu,,,halafu asidhan ajira kwa watoto ni migodin tu,hata kumpa mtoto dumu akauze maandaz ni ajira,aaaah
 
Mkuu hbii mambo ya sera mbaya tuliletewa na kama hayo ni old stories tangu enzi za SAP yaani tunalalama kama vile sisi ni "tabula rasa" kabisaaaa.......hatuna ubongo wala akili......????!!!!

Haya tumegundua mbaya nini kinafanyika kurekebisha!!!?????

Hilo la mzazi kukosa uwezo nalo ni la kulalamikia watu wa nje wakati wazazi wengine wanachukua posho ya siku kubwa kuliko mshahara wa mzazi mwingine kwa mwezi....huu nao ni ushauri wa nje!!!?????

Hali ya ustawi wa watoto yaweza kuwa mbaya kuliko ilivyooneshwa na BBC mkuu, kama hatukubali uwepo wa shida ni vipi tutaanza kushughulikia???????!!!!!



Kula GWALA Mwana wane!


Asipokuelewa na hapo, amia MMU tukapige POROJO tufurahi, hujui km leo ni FURAIDEI? B'REAL kandaa mambo mazito ya WIKENDI.

Pamoja sn mkulu ebabaa!
 
Last edited by a moderator:
Muandika mada inaonekana umeegemea kwn upande usiopenda kuambiwa ukweli (mm naita maskini jeuri) mererani manyoka wanahusika na uchimbaji wa tanzanite, hata kama hawachimbi lakini wanahusika kwa njia moja au nyngine. Alafu anajaribu kugusia suala la meno ya tembo! wadanganyika hatutaki ukweli kabisa, mbona kuna kiongozi wa juu kwn siasa anafanya hiyo biashara ya meno ya tembo haulizwi sio kwn majukwaa ya siasa wala popote. Mkuu aliwah kusema anawajua wauza unga na ivory lakn hatukuwah kumuuliza ni kina nani. hii ni tanzania zaidi ya uijuavyo so sishangai kwa watu kuilaumu BBC
 
jana nimeiona hiyo habar,kwanza tusianze kuwasingizia makaburu,bbc wameonesha kinachoendelea,la pili ajira kwa watoto hapa Tanzania zipo,mashamban,migodini,mbona kila jambo tunakimbilia kusingizia?kwa sababu suala la NYOKA kule mereran ni la muda,a ILO imeshawai kutoa ripot za child labor in Tanzania,kwa miaka ya nyuma,me nnayo hiyo report ukipenda nipe e-mail nikutumie leo,ifike wakat tusisake mchawi jaman,

Thanx sana kaka.....blame-game inataka kuwa na makazi ya kudumu miongoni mwetu...hii attitude yako ndio sahihi kwa nchi hii tulipofikia!!!!
 
The Boss, hujui kitu. Watoto wapo nje wanaokota tu. Hakuna anayeingia shimoni. Nimekaa miezi miwili pale sikuona mtoto "nyoka" akizama chini. Wanaozama ni wana-apollo.
Mererani we huijui,
Unajua kwanini wanaitwa nyoka,nikwasababu ya kuzama huko chini,wanaita ku-craw.
Na ni watoto.
Hata hao wana apollo baadhi yao ni watoto.
Kwa hiyo kilichosemwa ni sahihi.
 
hivi watanzania hawapendi ukweli siamini mwanahabari kupinga utafiti wa wenzako kweli makanjanja wengi kama alivyosema mtoto wa mfalme ujaenda mererani kuthibitisha unaongea tu wale watoto wangekuwa wako ndo ungekubali wale ni watoto hawajui kesho yao walitakiwa wawe shule bbc kusema ukweli ndo inakuuma sio uko tu mererani zipo sehemu nyingi zina ajira za watoto fanya tafita sio kuzungumza tu
 
Unajua Manyerere ni mkubwa umbo tu.sasa kweni watoto hawatumikishwi?huko Sikonge na Kaliua watoto hawaendi shule wanatumikishwa kwny mashamba ya tumbaku,serikali imebariki
 
Hivi kwa maono yako kuna serikali ya kuwasaidia hawa watoto? Nani awapeleke shule? Hata marekani haijaweza na ndiyo maana inao wasiojua kusoma wala kuandika. Kama kujifungua tu hatuwezi kugharimia, hiyo shule na chakula serikali itaweza? Wale watoto wanatafuta kuishi. Hawawezi kufia ndani ilhalu kuna kuchakuachakua mchanga ili wapate kula.
n
Kweli hujielewi nimeamini!!!ulicho andika kwenye thread yako kitu gani?na ulichochangia hapa kitu gani?!!Nimegundua tatizo lako,hutaki kusema ukweli.,au lah uandishi wako ni wakujikosha kwa watu fulanifulani.
My take;kuwa makini utapotea kitaaluma.
 
Acha urongo wako nipo apa mererani watoto wanachapa kazi kwerikweri mashimoni kutokana na hari ngumu ya maisha aise.
 
Back
Top Bottom