BBC waianika Tanzania tena!

BBC waianika Tanzania tena!

Hivi kwa maono yako kuna serikali ya kuwasaidia hawa watoto? Nani awapeleke shule? Hata marekani haijaweza na ndiyo maana inao wasiojua kusoma wala kuandika. Kama kujifungua tu hatuwezi kugharimia, hiyo shule na chakula serikali itaweza? Wale watoto wanatafuta kuishi. Hawawezi kufia ndani ilhalu kuna kuchakuachakua mchanga ili wapate kula.

Ina maana ulipost mada kwa lengo la kupika uongo au kupindisha ukweli ?

Nilikuwa sijui kama nawe ni muandishi wa aina hii
 
Tatizo hili haliwezi kuisha kama hakutakuwa na juhudi za makusudi za serikali na wadau wengine zakusaidia jamii zinazozunguka machimbo na migodi hiyo kukuza uchumi na huduma za kijamii..wananchi wanamaisha duni sana ukizingatia tija inayotokana na jitihada zao ktk uchimbaji kuwa ni ndogo mno.wachimbaji wadogo bado wanatumia zana duni,hawana uhakika na mbale au deposits za madini na masoko.mambo haya na mengine yakizingatiwa na serikali hasa kwa kutoa mikopo yenye masharti nafuu au zana za kuchimbia,itaweza kuinua vipato vya wazazi na hata kampeni ya kupiga marufuku ajira za watoto itafanikiwa
 
umeenda kitalu kipi na kipi? kwenye shimo la nani na nani? ambapo hukuona watoto wewe? au watoto kwako mpaka ukute wamening'inia kwenye nyonyo za mama zao ndo unwhesabu kuawatoto?
 
m
MKUU WW NAHISI NI MFUATILIAJI WA HABARI NA SERA MBALI MBALI, SASA UNATAKA WAO NDO WAJE KUSIMAMIA HIZO SERA ZAO KWETU? NA KWA UFUATILIAJI WAKO KAMA MWANDISHI KWAO UMEONA WATOTO WANAJIHUSISHA NA CHILD LABOUR COZ OF POLICY INITIATORS? TUNATAKIWA KUUNGANA NA HAWA JAMAA ILI WATU WETU WALIOPEWA DHAMANA WATIMIZE WAJIBU WAO KWA MAZINGIRA YA KIAFRIKA HUSUSANI KITANZANIA, SIYO NYIE WENYE FURSA YA KUSEMA KUPITIA MEDIA AVENUE NYINGI MNAANZA KUSUPPORT WATENDAJI KWA KUPUZIA MAADILI YAO. MFANO KUNA ILO CONVENTIONS KIBAO AMBAZO TZ NI NCHI MWANACHAMA LZM UJUE WASIPOKUPO WATU WENYE ETHICS ZA KFANYA FOLLOW UP KWA MEMBER STATES NA KURIPOTI KWA MAPUNGUFU LZM UFAHAM HT HIYO MKATABA HAINA MAANA KBS! SASA WW NAKUSIHI NENDA WIZARA HUSIKA, ILO, NGOs NK UHOJI NDO UTULETEE HABARI MAPEMA. NAKUSIHI HABARI II NI SERIOUS NA WENGI TUNAKUBLIANA NA BBC REPORT HIVYO USIIKIMBIZE JAMHUR J4 KWA MTAZAMO ULIONAO WEWE. MFANO ANZISHA HATA THREAD HUMU JE KUNA AJIRA ZA WATOTO MIGODN TZ? COMMENT ZA WCHANGIAJI UTAPIMA MWENYEWE NA COMPARE NA BBC FINDINGS NA UR PERSONAL PERCEPTION, UTAONA UPI UKWELI.[/QUOTE
mkuu NATTAWITTO naona umeona iko haja ya kumpa darasa Manyerere,,naona ni mhariri incompetent kabisa,sijui mnawezaje kufwatilia makala zake.
 
Last edited by a moderator:
Hivi wewe ni journalist wa aina gani?hata common sense huna? Sasa kama kuna child labour mererani isesemwe? We Ulienda mererani ukakuta hakuna watoto?huu ukanjanja hadi lini?

swali swadakta
 
Child labour ni matokeo ya umasikini na ujinga. Piga vita maadui hawa na tatizo lingekwisha!
Baba wa taifa alianzisha vita hii, warithi wake wakalewa madaraka, wakawa mawakala wa wakoloni.
Hatuhitaji kuwa na elimu kubwa kulijua hili, lakini wapumbavu wenye shahada za vyuo vikuu watalijadili kwa kuzunguka!
 
Manyerere wacha kuwadanganya watanzania wenzako hili swala la child labour kwenye machimbo ya tanzanite (mererani) lipo tena ni la muda mrefu BBC wapo sahihi .

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
m
MKUU WW NAHISI NI MFUATILIAJI WA HABARI NA SERA MBALI MBALI, SASA UNATAKA WAO NDO WAJE KUSIMAMIA HIZO SERA ZAO KWETU? NA KWA UFUATILIAJI WAKO KAMA MWANDISHI KWAO UMEONA WATOTO WANAJIHUSISHA NA CHILD LABOUR COZ OF POLICY INITIATORS? TUNATAKIWA KUUNGANA NA HAWA JAMAA ILI WATU WETU WALIOPEWA DHAMANA WATIMIZE WAJIBU WAO KWA MAZINGIRA YA KIAFRIKA HUSUSANI KITANZANIA, SIYO NYIE WENYE FURSA YA KUSEMA KUPITIA MEDIA AVENUE NYINGI MNAANZA KUSUPPORT WATENDAJI KWA KUPUZIA MAADILI YAO. MFANO KUNA ILO CONVENTIONS KIBAO AMBAZO TZ NI NCHI MWANACHAMA LZM UJUE WASIPOKUPO WATU WENYE ETHICS ZA KFANYA FOLLOW UP KWA MEMBER STATES NA KURIPOTI KWA MAPUNGUFU LZM UFAHAM HT HIYO MKATABA HAINA MAANA KBS! SASA WW NAKUSIHI NENDA WIZARA HUSIKA, ILO, NGOs NK UHOJI NDO UTULETEE HABARI MAPEMA. NAKUSIHI HABARI II NI SERIOUS NA WENGI TUNAKUBLIANA NA BBC REPORT HIVYO USIIKIMBIZE JAMHUR J4 KWA MTAZAMO ULIONAO WEWE. MFANO ANZISHA HATA THREAD HUMU JE KUNA AJIRA ZA WATOTO MIGODN TZ? COMMENT ZA WCHANGIAJI UTAPIMA MWENYEWE NA COMPARE NA BBC FINDINGS NA UR PERSONAL PERCEPTION, UTAONA UPI UKWELI.[/QUOTE
mkuu NATTAWITTO naona umeona iko haja ya kumpa darasa Manyerere,,naona ni mhariri incompetent kabisa,sijui mnawezaje kufwatilia makala zake.

Mm ni mfanyakazi ktk migodi ya tanzanite, naweza kusema ukweli uliopo kwa kipindi cha nyuma ndio watoto walikupo kuanzia 2005 kushuka chin lakin 2005 kuja 2014 watoto hawapo kwahy basi tuangalie hiyo habari ni ya kipindi gani? Kwasabb ktk maisha tunayo ishi watu wengi wanao kuja kuchimba madini ni watu masikini sana(fukara) kutoka family tunazotoka ni zile hata mlo mala 1 kwa kutwa ni shida wengi wao tunadumaa kwa kukosa lishe bora ndio maana tunaonekama ni watoto. Kwasabb hii kazi ni ngumu sana mtoto hawezi kuifaya maana hata watu wazima ambao ni legelege hawawezi wanakimbia. Iweje mtoto aweze? Na je? Kuna mtoto anaemiliki mali za kutafuta mwenyewe?
 
Last edited by a moderator:
Thanx sana kaka.....blame-game inataka kuwa na makazi ya kudumu miongoni mwetu...hii attitude yako ndio sahihi kwa nchi hii tulipofikia!!!!

nashangaa Manyerere Jackton anahangaika kukataa,nashangaa sana,maana ajira kwa watoto kwa Tanzania ni jambo lililosahaulika,hata yule afisa alohojiwa ameshindwa kusema strategies za kuliondoa,kama kuna mtu yupo Dodoma,atembelee soko la Majengo-Dodoma,aone ajira kwa watoto ambapo hilo ni tatizo kwa takriban miaka 20 tangu nianze kuliona,na bado linaendelea
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kufanikiwa kwenye pembe za ndovu, BBC wametukung'uta tena. Safari hii ni kwenye madini ya tanzanite. Wanadai tanzanite inachimbwa na watoto. Wameweka video ya "the gemstone mined by child labour". Huu utakuwa ni mkakati wa makaburu wa tanzaniteone ambao mara zote wameutangazia ulimwengu kuwa tanzanite yao pekee ndiyo halali maana haichimbwi na watoto. Hili ni pigo jingine kwa ndugu zetu wanaotegemea tanzanite kuendesha maisha yao.
===================================

Chanzo;bbc

Ni Mkakati mzuri ili wasimamizi wa Sheria wafanye kazi na kuwa nusuru watoto wadogo na maisha hatarishi kabla ya kufikisha miaka 18. Ningekuwa Raisi ningeshamtimua kazi waziri wa Kazi.
Maeneo ya Migodi ni rahisi kudhibiti utumikishaji wa Watoto kwenye kazi za uchimbaji. Maeneo yanajulikana na hasa hili la mererani opareshini ya mara kwa mara na hasa kuufungia mgodi husika ni suluhisho la mara moja na majibu yanapatikana ikiwa ni pamoja na kumfikisha Mahakamani mwenye Mgodi . Huna haja ya kuhangaika na Watoto,watoto watyakuwa mashahidi Mahakamani.
 
m

Mm ni mfanyakazi ktk migodi ya tanzanite, naweza kusema ukweli uliopo kwa kipindi cha nyuma ndio watoto walikupo kuanzia 2005 kushuka chin lakin 2005 kuja 2014 watoto hawapo kwahy basi tuangalie hiyo habari ni ya kipindi gani? Kwasabb ktk maisha tunayo ishi watu wengi wanao kuja kuchimba madini ni watu masikini sana(fukara) kutoka family tunazotoka ni zile hata mlo mala 1 kwa kutwa ni shida wengi wao tunadumaa kwa kukosa lishe bora ndio maana tunaonekama ni watoto. Kwasabb hii kazi ni ngumu sana mtoto hawezi kuifaya maana hata watu wazima ambao ni legelege hawawezi wanakimbia. Iweje mtoto aweze? Na je? Kuna mtoto anaemiliki mali za kutafuta mwenyewe?

huenda usemacho kina logic lakin,wale walohojiwa jana ni watoto,jaman tusianze LABDA LABDA hapa,tatizo lipo
 
Na pia kwa kipindi 2005 kurudi chi migodi ilikuwa haijaenda mbali lakini leo hii migodi inafikia km 1 na mt 400 kwenda chini mtoto hata weza hy kazi. Kwa kipindi cha nyuma napo watoto walikuwa hawafanyi kazi wao walikuwa ni kutumwa kutoa taarifa tu na vitu vidodog kulingana na umri wao. (Ngoma ya watoto haikeshi) mtoto hawezi (kusomoa) kutoa kiroba masaa 24 ni kitu ambacho hakiwezekani
 
Manyerere wacha kuwadanganya watanzania wenzako hili swala la child labour kwenye machimbo ya tanzanite (mererani) lipo tena ni la muda mrefu BBC wapo sahihi .

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums

soon tutaanza kuambiwa ni taarifa za kupikwa na pale si Tanzania,ni BBC hawahawa walirusha makala ya uendeshwaj wa madangulo DAR na watoto ndo waliokua wakitumikishwa kwenye ngono,serikal mpaka leo haijachukua hatua madhubut kupambana na janga la madangulo tz
 
Waandishi wetu mnataka Tz isifiwe hata kama tunanuka? Acheni kujikomba. Ulitaka hata kama watotowanafanyishwa kazi wasifie au/
 
Na pia kwa kipindi 2005 kurudi chi migodi ilikuwa haijaenda mbali lakini leo hii migodi inafikia km 1 na mt 400 kwenda chini mtoto hata weza hy kazi. Kwa kipindi cha nyuma napo watoto walikuwa hawafanyi kazi wao walikuwa ni kutumwa kutoa taarifa tu na vitu vidodog kulingana na umri wao. (Ngoma ya watoto haikeshi) mtoto hawezi (kusomoa) kutoa kiroba masaa 24 ni kitu ambacho hakiwezekani

jana wameripot yapo mashimo ya mita zaid ya mia kwenda chin na watoto wanazama
 
watoto wanashuka chini kawaida me ni apollo mtoto ni nyoka wa kirenga tena anaspidi kuliko anashusha nakupandisha tindo haohao nyoka wako waliobaatika na wana maisha yao
 
Hakika kuna jambo tunalo takiwa kufikiri walau juu ya haya mambo,hasa hiyo ajira ya mererani,tukiachia huko wapo watoto weengi ambao hata kwenye taa za juongozea magari wanaosha vioo kwaaajili ya fedha wapo wano uza hayo magazeti yenu humu mitaani(sio ajira?)
Hali ya maisha ya nchi yetu ndio inayosababisha watoto hao kukimbilia huko sababu kubwa kufikikirika pesa ya haraka haraka,wengi wao yatima,labda nimuulize MANYEREre amesha wahi kufanya harakati gani ya kushawishi kupeleka taasisi yeyote pale kwaajili ya kuzuia ajira hizo yeye kama mwandishi mweledi,coz ninachokiona kwake nikutafuta habari na kuijengea hoja zisizo na mashiko
Ikumbukwe kuwa hao Tanzanite One hata hiyo migodi midogo midogo kwao ni mwiba ukizingatia kwa sasa kuna muingiliano mkubwa chini ya ardhi na eneo lao halitoi madini kama mwanzo tofauti na migodi midogo inayotoa kidggo madini,
Manyerere mkiwa kama waandishi weledi simamieni hili ndani na sio tusubiri tusemewe then mlete ushabiki
 
Last edited by a moderator:
huenda usemacho kina logic lakin,wale walohojiwa jana ni watoto,jaman tusianze LABDA LABDA hapa,tatizo lipo

Sikiliza mtu akitaka kukuchafua atakuchafua tu, mm niko hapa merelani kwa zaidi ya miaka 12 kwa maisha ya hapa kuna mji na wakazi wanafamily zao kutoka kwenye mji mpka hapa migodini kuna km 4 na kipindi hiki shule zimefungwa, kwa hy kununua watoto na kuwavalisha nguo chafu na kuwahoji sio kazi isitoshe watoto wa hapa merelani wanapenda pesa vibaya sana,.na kingine nataka niwaambie msicho kijua hakuanaga mtoto aliezaliwa hapa merelani anazama migodini,. Ule msemounaosema kwenye miti hakuna wajenzi unakamilika hapa, kama kuna mtu anaweza kufanya uchunguzi au kutembelea aje atajionea mwenyewe. Na hata ktk 2005 kushuka chin watoto waliokuwepo hapa ni kutoka mikoa mingine na sio manyara wala arusha watoto wa hapa hawataki kazi hii hata watu wazima walio zaliwa hapa hawafanyi kazi hii hawaitaki hata kuisikia
 
Back
Top Bottom