BBC waendeleza ubeberu: Eti Tanzania nchi ya 23 kijeshi Afrika, Uganda ya 14 na Kenya ya 12

BBC wa ajabu Sana hawa.

Eti kijeshi Tanzania ni nchi ya 23 kwa nguvu za kijeshi. Eti Congo DRC ni ya 10. Uganda 14 na Kenya 12...
Ukitaka kujua Tanzania ni ya ngapi kamuulize Idi Amin na Kaburu among others. Kenya ni koloni la Uingereza. Maybe, wanataka kutumia namba yao kuwapa makoloni yao. Kesho utaambiwa hata Rwanda inatuzidi wakati wao na Uganda tumeatengeza
 
Wakitaka majibu wakaangalie ripoti waliyoitoa weak leaks miaka ya nyuma kidogo kuhusu Tz. Hii nchi si ya kidwanzi kama hao wapuuzi waanavyodhani, inawaumiza kichwa sana kuona hakuna vurugu ktk nchi hii, warejee report, sisi hatuna mambo mengi ya kuwaeleza wao wanaosubiri mwishonwa mwezi kulipwa mshahara kwa story zao za kutunga nyuma ya keyboard! Aliyewasimulia nae kasimuliwa
 
Kuanzia 2015 mpaka 2021 jeshi letu halikupewa kipaumbele japo sikubaliani na hiyo rank
 
Nilikushangaa ulivyoshuka habari za Ethiopia na Tigray. Hili la Marekani na Afghanistani umesema uongo. Marekani na washirika wake walienda kupigana vita vya kuzima ugaidi. Wameshimdwa na washirika wo na wamekimbia uwanja wa kiutuuzima na kuwaacha magaidi taliban wakiendelea kuitawa Afghanistan kama ilivyokuwa kabla ya uvamizi.

Uganda, Rwanda, Kenya na waaina hizo hawewezi kuwa juu ya JWTZ, hata wao wenyewe wanawashangaa BBC. Uganda wakati mwengine wanajeshi wao wanavya gumboots!!! Uganda na Kenya wanataka kuikimbia Somalia lakini hawana budi wanakufa na tai shingoni.
ulishangaa nini kuhusu Tigray. Weka wazi nione unachoshangaa. Uwa siongei kishabiki ila kwa facts. Kuhusu Marekani nadhani hujui mjeshi yanayo linda amani na vita. Uwa sina muda wa kubishana na mtu ambae anaongea kiushabiki badala ya facts.
 
Wewe unasemaje mkuu? Tupe taarifa yako juu ya hili.
BBC wa ajabu Sana hawa.

Eti Tanzania ni nchi ya 23 kwa nguvu za kijeshi. Eti Congo DRC ni ya 10. Uganda 14 na Kenya 12.

1. Egypt, 2. Algeria 3. Nigeria 4 south Africa 5. Ethiopia 6. Angola 7. Sudan 8. Morocco 9.Libya na 10 ni Congo DRC.

Maajabu hayaishi duniani. Mbona Libya, Ethiopia, Congo DRC na Nigeria vita kibao na uimara huo wa Majeshi yao?

Source: BBC Swahili news.
 
Jeahi letu imara sana kugombania wanawake mitaani hapa duniani namba moja.ubora 0
 
BBC wa ajabu Sana hawa.

Eti Tanzania ni nchi ya 23 kwa nguvu za kijeshi. Eti Congo DRC ni ya 10. Uganda 14 na Kenya 12.

1. Egypt, 2. Algeria 3. Nigeria 4 south Africa 5. Ethiopia 6. Angola 7. Sudan 8. Morocco 9.Libya na 10 ni Congo DRC.

Maajabu hayaishi duniani. Mbona Libya, Ethiopia, Congo DRC na Nigeria vita kibao na uimara huo wa Majeshi yao?

Source: BBC Swahili news.
Mkuu kubali kataa hizo nchi zipo nafasi hiyo kiukweli..

Kenya labda unakuta ana ndege za kivita zaidi ya 40 alafu TZ ana ndege 5(mfano tu huu)

Kenya ana Askari active 100,000 alafu TZ anao 60,000hivi kweli unaweza kujilinganisha hapo na Kenya?

Jeshi la TZ hasa Kamandi ya Ardhi(Askari wa miguu ndiyo kamandi bora sana kwa ukanda huu wa Mashariki lakini kwa Kamandi nyingine bado tunaenda mdogo mdogo).

Lakini pia uchumi husika wa nchi ndiyo hudhihirisha nguvu za kijeshi za nchi husika.
 
ulishangaa nini kuhusu Tigray. Weka wazi nione unachoshangaa. Uwa siongei kishabiki ila kwa facts. Kuhusu Marekani nadhani hujui mjeshi yanayo linda amani na vita. Uwa sina muda wa kubishana na mtu ambae anaongea kiushabiki badala ya facts.

Marekani na washirika wao walienda Afghanistan si kulinda amani bali kupigana vita ya ugaidi baada ya taliban na kiongizi wao Mullar Omary kukataa kumkabidhi Osama bin Laden aliye shambulia WTO. Kumbuka kauli mbiu ya Bush mtoto Either you are with us or terrorist. We will find him live or dead, will smoke him out, make no mistake. Mwisho wasiku taliban leo baada ya miaka 20 wamewatimua USA na vibaraka wao kwa aibu kubwa. Kipimo ya geshi ni ufanisi wake. Hayo mengine ni marketing strategies za wauza silaha.
 
BBC wa ajabu Sana hawa.

Eti Tanzania ni nchi ya 23 kwa nguvu za kijeshi. Eti Congo DRC ni ya 10. Uganda 14 na Kenya 12.

1. Egypt, 2. Algeria 3. Nigeria 4 south Africa 5. Ethiopia 6. Angola 7. Sudan 8. Morocco 9.Libya na 10 ni Congo DRC.

Maajabu hayaishi duniani. Mbona Libya, Ethiopia, Congo DRC na Nigeria vita kibao na uimara huo wa Majeshi yao?

Source: BBC Swahili news.
Vigezo vyao sio vyako, wanavyo vigezo vyao visivyolingana na vyako. BTW hayo ni maneno tu, wanaweza kuongea lolote na hayapunguzi wala kuongeza chochote.

Vv
 
Marekani na washirika wao walienda Afghanistan si kulinda amani bali kupigana vita ya ugaidi baada ya taliban na kiongizi wao Mullar Omary kukataa kumkabidhi Osama bin Laden aliye shambulia WTO. Kumbuka kauli mbiu ya Bush mtoto Either you are with us or terrorist. We will find him live or dead, will smoke him out, make no mistake. Mwisho wasiku taliban leo baada ya miaka 20 wamewatimua USA na vibaraka wao kwa aibu kubwa. Kipimo ya geshi ni ufanisi wake. Hayo mengine ni marketing strategies za wauza silaha.
Usiolijua ni sawa na usiku wa giza. Eti wamewatimua. Unajua Biden anachalaumiwa? Ha ha ha!
 
DR Congo watu wanajipigia kama malaya wa kimboka eti nae anatuzidi. Rwanda inajipigia Congo DR kisha inasepa na madini kama lowasa nayo inatuzidi aseeee
 
Ugandan airforce wana sukhoi S30....ndege za kisasa mno za kirusi. Wakati sisi tumejikita na j7 za mchina
 
Back
Top Bottom