Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Ndio mada inasema hivyo au ndio kuchanganyikiwa?Hamueleweki, mara mnadai bado tuko daraja lile lile mara misaada itapungua, vijana wa mbowe mna shida sana...
Hivyo ndio alivysome?Kwahiyo unashauri tupambane kurudi daraja la chini ili tuendelee kusaidiwa?
Achana na hao mkuu utaumiza kichwa bure tuKwahiyo unashauri tupambane kurudi daraja la chini ili tuendelee kusaidiwa?
Huna akili ya kumwelewa mleta hoja.Hamueleweki, mara mnadai bado tuko daraja lile lile mara misaada itapungua, vijana wa mbowe mna shida sana...
Nafkiri mtoa hoja amekusudia kutukumbusha kujipanga ktk hatua hii kubwa!Ni kweli.
Lakini kweli kuna nchi inayofurahia kuwa maskini ili ipate misaada?
Kama kuna sababu za kusikitikia kupanda daraja, binafsi sizioni hizi kuwa za muhimu.
Ndio, ni kama kijana kabalehe, kawa mtu mzima, acha akapambane na dunia. Pengine tukipata ugumu huo, ndio akili itatuingia vichwani.
Umepewa taarifa. Ulikuwa hujui.Hamueleweki, mara mnadai bado tuko daraja lile lile mara misaada itapungua, vijana wa mbowe mna shida sana.