MTENDAHAKI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,013
- 1,448
watakuja kutueleza
Yaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi?
Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!

Na muelewe watanzania jinsi uchumi wa duniya unavyojiendesha China ameshusha thamani ya pesa yake automatically imeathiri mpaka dollar ya marekani kwa nchi za afrika ndio zaidi kwa kuwa tunafanya sana biashara na uchina.kwahiyo si jambo la ajabu sana ni suala la nchi yenye nguvu kiuchumi Kama china kufanya inachokiona ni sahihi kwa manufaa yake.
Ni kweli!! Kwani ni uongo ndg? Huwezi kuifananisha sh ya kenya na ya tz hata kidogoYaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi?
Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!
Hebu niambie shilingi ya Kenya ilikuwa katika thamani ipi kabla China hawajaamuabkushusha thamani ya hela yake kwenye kuexport bidhaa zake. Halafu uilinganishe na shilingi ya Tanzania. Ni kwanini Kenya hawajaathirika na hilo?
Aliyekwambia shilingi ya Kenya haijaathiriwa nani?
Ni kweli!! Kwani ni uongo ndg? Huwezi kuifananisha sh ya kenya na ya tz hata kidogo
Yaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi?
Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!
Yaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi?
Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!
Hii ni myth ' Wakenya wasiojua Kiswahili' Yaani nyie Kiswahili chenu cha gali, nzuli, mshahala, kula (kura) ndiyo Kiswahili? Kenya hutoa kila mwaka wanafunzi 4000 waliohitimu BA ya Kiswahili. Nyie blabla blaaaaa
Watangazaji na waandishi waandamizi wa BBC wengi ni wakenya ndio sababu ya yote hayo.
Tusitukane tuangalie penye ukweli, je ni kweli shillingi haijashuka? nini cha kufanya ili tusiwe mfano mbaya wa kila siku? inawezekana ukweli kuwa BBC swahili imekuwa kijiwe cha wakenya kujitangaza, sisi tunafanya nini?
Si usikilize tbc fm; yawezekana unafurahia sana kudanganywa na kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa!
Nchi imeozaa hii, unadhani ni kwanini watu wanataka mabadiliko??? #TAFAKARI.
Angalia TBC wao wanaisifia sana Tanzania na hususani chama cha Mapinduzi (CCM) ili ujifariji.
Mkuu huu ni ukweli mchungu ndani ya miezi 5 uliyo pita us dola imepanda dhidi ya Tsh. kutoka 1600 hadi 2400 /=. Hivi sasa ipo 2200/= baada ya mkopo kutoka SA & china, ambao unaweza kumentain hadi December. Chanzo hasa cha kuporomoka kwa sarafu ni uchotwaji wa pesa za eskroo kwenye viroba ilisababisha fedha nyingi za wahisani kusitishwa.
Wewe ni CCM tu kwani unataka usifiwe kwa ujinga unofanya mpaka shilingi inashuka na huna cha kufanya. BBC Swahili wako makini na taarifa zao. Wame analyze kudorora kwa uchumi wa china, wakaja kushuka kwa rand ya south africa, na baadaye waongelea uwezekano wa uchumi wa nigeria kuyumba kwani china ndo mteja wa mafuta yao mkubwa.
Ni kweli ktk east africa TZ pesa yetu imeshuka sana pamoja na uganda, kenya wako juu yetu sana. US dollar 1 ni Kshs 92 wakati dollar hiyo hiyo ni TZS 2090, unasemaje sasa?
Hongereni BBC kwa kusema ukweli daima