akilikubwa
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 590
- 108
Yaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi? Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!!!
Mkuu mbona unatujumuisha wote??mimi nafurahia wanapo onyesha ubovu wa ccm