Africa one
JF-Expert Member
- May 6, 2013
- 244
- 111
Yaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi?
Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!
Ndugu ukisemwa rudi ujipange ili umnyamazishe aliekusema kwa kurekebisha mapungu yako.
Ukisharekebisha hana cha kuandika hivyo BBC waliona upungufu wetu.