BBC Swahili Tumewachoka!

BBC Swahili Tumewachoka!

Badala ya kufikiria kama walichotangaza ni kweli ama uwongo we unakurupuka tu. Ovyo sana wewe
 
Yaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi?

Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!
Usipanic ndugu, jiulize hayo wanayosema ni kweli au si kweli? Tafakari na chukua hatua.
 
Yaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi?

Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!

Kama shilingi ya Tanzania imeporomoka wasiseme! Hata CCM ikirudi madarakani watatushangaa sana!
 
Jamani msameheni kisha elewa, duh maana mmemuandama balaa.
 
Hii ni myth ' Wakenya wasiojua Kiswahili' Yaani nyie Kiswahili chenu cha gali, nzuli, mshahala, kula (kura) ndiyo Kiswahili? Kenya hutoa kila mwaka wanafunzi 4000 waliohitimu BA ya Kiswahili. Nyie blabla blaaaaa

Hiki ni kielelezo kingine kinachosikitisha jinsi Tanzania ilivyokosa uongozi. Kiswahili fasaha tunaweza kabisa kudai ni mali yetu lakini tembea dunia yote, wanaokieneza ni Wakenya, walimu wa kiswahili duniani wengi ni Wakenya na wanaokitumia kimkakati kupatia kazi na kutangazia biashara zao ni Wakenya. Sisi tumebakia kuagiza walimu toka Kenya kutufundishia watoto wetu kiingereza au kuwapeleka huko kabisa kwa matumaini watajua kiingereza kirahisi zaidi.
 
We mleta mada una jitambua kweli au u ccm ndo unakuponza 6ta acha kuisikiliza na kuitazama kwani ni ukweli m2pu acha ccm malofa/wapumbavu tuwa onyeshe ulofa wetu 25oct
 
We mleta mada una jitambua kweli au u ccm ndo unakuponza 6ta acha kuisikiliza na kuitazama kwani ni ukweli m2pu acha ccm malofa/wapumbavu kwakushindwa kuisuport ccm tuwa onyeshe ulofa wetu 25oct
 
Yaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi?

Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!

Khaa!! Kweli au si kweli?? Tujifunze kusikia ukweli mchungu
 
Kwani kuna siri juu hilo...halafu wewe utakuwa CCM tu!
 
BBC wamezidi bwana hata mimi nimewasitukia habari za Kenya coverage yake kubwa kuliko ya Tanzania itapoteza wafuasi kama wataendelea na mambo yao as usual
 
Hilo la kiswahili mkuu umeleta mada nyingine kiswahili sanifu ni tanzania,kiswahili cha wagagagigikoko ni kenya hilo lipo.wazi
 
Kwani kuna siri juu hilo...halafu wewe utakuwa CCM tu!
 
Yaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi?

Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!
Mbona povu linakutoka namna iyo, kwani kuna kipi tulichosingiziwa?? Sarafu yetu wamesema imeporomoka kwani ni uongo??
 
Yaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi?

Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!

Kumbe mpo vizuri sana Watanzania....???
Lakini mbona wananchi wanalalamika....viongozi wanalalamika.... waandishi wa habari wanalalamika...???
BBC na vyombo vingine vya habari wanawahurumia sana wapumbafu na malofa wa nchi hii...!!
 
Wabongo bwana tunamatatizo, sasa si ni kwelishilingi yetu inashuka, au ww unaona inapanda?
 
Wabongo bwana tunamatatizo, sasa si ni kwelishilingi yetu inashuka, au ww unaona inapanda?

Ya kenya nayo inashuka ukilinganisha na dola na paundi kwa nini hawasemi? Kipindi hiki cha uchaguzi BBC wanatumika na Lowasa kuponda serikali.tunawajua.Washapokea mshiko
 
Washenzi hawa wakenya,bbc swahili wameifanya kijiwe,na kupendelea kenya,wakati mie naona wasikilizaji wengi wapo Tanzania,na baadhi ya watanzania waliopo bbc ni kama mananga,hawana uzalendo,yaani wakenya wasiojua hata kiswahili ndo wanawaburuza kwa kupendelea habari za kenya,kweli mkuu wanakera sana.
Hili ndilo tatizo kubwa linalotukumba watanzania,kamwe ukweli hatuupendi na tunafurahia kuongepewa,hivi wewe ulitaka usifiwe kuwa shilingi ya Tanzania inaimarika wakati kila siku imezidi kuporomoka?sifa gani ulitaka ulinganishwe kwa shilingi ya Kenya wakati kwa sasa shilingi ya Kenya ni sawa na takribani shilingi 23 mpaka 25 ya Tanzania?dola moja sawa sh 80 ya kenya ilihali dola hiyo moja ni takriban shilingi 2200 ya Tanzania?sifa gani ulitaka hapo Mtanzania mwenzangu bbc wakupe Tanzania?je shilingi yetu haipo katika mporomoko wa hatari unaotishia mustakabari wa uchumi wetu?mwaka 2005 dola moja ilikuwa sawa na shilingi 1080 mpaka 1180 lakini ndani ya miaka 10 hali ndo hiii...shilingi moja ya Kenya ilikuwa sh 14 mpaka 16 ya Tanzania leo hiii tupo hapo....! lets be honest bbc wamefanya kazi yao kutuamsha tujitambue,hizi si zama za uwongo:A S 41::A S 41:
 
sasa ulitaka waongee uongo ndiyo mambo mabaya yote yapo tz ,,, na sasa tunataka mabadiliko
 
Back
Top Bottom