tethering
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 331
- 139
Yaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi?
Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!
Lakini walicho ripoti bbc ni kweli kabisa kwani saiz dola moja ni sawa na zaidi ya sh 2000 za kitanzania