BBC Swahili Tumewachoka!

BBC Swahili Tumewachoka!

We mleta mada una jitambua kweli au u ccm ndo unakuponza 6ta acha kuisikiliza na kuitazama kwani ni ukweli m2pu acha ccm malofa/wapumbavu kwakushindwa kuisuport ccm tuwa onyeshe ulofa wetu 25oct

Mkuu kinacho muongoza ni akili za nyumbu tu kwani hana uwezo wa kujitoa kwenye minyororo aliyofungwa na utawala uliopo madarakani
 
Washenzi hawa wakenya,bbc swahili wameifanya kijiwe,na kupendelea kenya,wakati mie naona wasikilizaji wengi wapo Tanzania,na baadhi ya watanzania waliopo bbc ni kama mananga,hawana uzalendo,yaani wakenya wasiojua hata kiswahili ndo wanawaburuza kwa kupendelea habari za kenya,kweli mkuu wanakera sana.

Tatizo lako unapenda watangaze mambo yanayokufurahisha tu.
Ukweli ndiyo huo
 
Yaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi?

Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!

Kenya wako mbele, wanafanya mambo yanayoeleweka, Tanzania mambo yanakwenda mrama unataka wasemeje? miaka 50 ya uongozi wa CCM wanafunzi watoto wa MALOFA wanasoma shule zisizo na vyoo unataka kusifiwa?

Ukweli ni ukweli hata kama mchungu
 
Kwani wanaongopa kuwa sh haijashuka?sh ya Tz unaweza kuilinganisha na sh ya Kenya?leo hii Kenya wana treni ya mwendo kasi,hapa Tanzania ndio tumeiua kabisa reli yetu ya kati alafu unawalilia BBC?BBC siyo kama TBC

Mkuu ukiangalia kasi ya wakenya katika kutengeneza barabara za kisasa na fly overs ipo juu sana...huwezi kulinganisha na TZ. Bado umeme kukatika Kenya ni kitu cha ajabu na lazima kuwe na sababu ya msingi sana na wananchi waijue sio kama hapa kwetu.
 
Kweli kabisa mkuu
 
sasa ulitaka waongee uongo ndiyo mambo mabaya yote yapo tz ,,, na sasa tunataka mabadiliko

Huyu sijui wa wapi hajui 1sh ya Kenya ni sawasawa na 21sh ya Tanzania...hajui elfu 1 ya kenya ni sawa kabisa na elfu 21 ya Tanzania.

TUMEICHOKA CCM HATUITAKI...ni wezi wa rasilimali za umma kwa miaka zaidi ya 50.
 
Yaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi?

Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!

Hakika wewe ni mjinga kweli yaani unataka watoe mfano gani mzuri Kwa Tanzania. Yaani kuna mijitu sijui ina akili za kuku, yaani mimi hupata shida kuelewa posts za kijinga km hii. Wewe zero kichwani kabisa.
 
Yaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi?

Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!

Mleta mada ni zero brain.
 
Asante k-boko.hata mm wananikera sana.naona kuna upungufu bbc, wako biased sana kwa sababu katika matangazo yao ya ukanda wa maziwa makuu, kiasi kikubwa ni habari za kenya na ni kila siku.hata ukija kwenye coverage ya uchaguzi wetu ni kama hakunakinachoripotiwa.labda kwa sababu watangazaji wao wengi ni wakenya!

Kwa sasa deutsche welle wana coverage nzuri ya habari za maziwa makuu na africa lkn sio bbc swahili.

May b kuna haja ya kuna wa watangazaji wengi zaidi watanzania kwenye vyombo hivi vya kimataifa la sivyo tutapotezwa!
 
acha uvivu wa kufikiri....

BBC Swahili inatangaza kwa ajili ya africa mashariki na maziwa makuu ambako kiswahili kinaongewa zaidi, ulitaka watoe mifano ya Egypt au Morocco kwa waarabu...

besides...lengo lilikuwa ni kuonyesha namna gani kitendo cha wachina kushusha thamani ya yuan kitaahiri uchumi wa nchi zetu hizi na kuzidi kuporomosha thamani ya pesa yetu ya madafu.

si kila kitu kinahitaji politicky...mambo mengine ni ya kitaalamu zaidi, google uelewe impact ya currency devaluationa na hasa kama nchi yenye kufanya hivyo inashika nafasi ya pili kwa uchumi mkubwa duniani na sisi tunahemea kila kitu kutoka uchina hata vijiti vya kuchokonelea meno.
 
bbc wanasema ukweli mtupu kenya wako kikazi wanaleta.treni.ya umeme gogo la mwakyembe limekufa mazima.saraf ya tz imeporomoka ya kenya iko stable.budget ya kenya ni independent ya bongo dependent unataka wasemaje?rais wa kenya anafanya kazi rais wa tz anasafiri(utalii)na kujimwaga na wasanii
 
Ni kweli aisee hawa watu wamezoea sana kutudhalilisha Tanzania huku wakionyesha kenya vizuri....niliacha kuwasikiliza zamani siku hizi mimi DW tu!
 
Ma CCM utawajua tu, sasa kwani ni uongo? mbona huwa mnapenda kuficha maovu? kuna haja gani ya kujisifia kuwa jana umekula pilau kumbe umelalia viazi? ni ujinga tu! mtoa post bado hajaelimika! nasikitika miaka 50 ya uhuru watanzania walio wengi wameendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu akiwemo mtoa post...
 
Waambie hao au wana ubia na KEnya?? muandishi wa habari hautakiwi kuwa bias
 
Mtoa hoja, ulitaka tusifiwe kwa uzembe? Kama tumejiweka kuwa kielelezo cha udhaifu kwenye kila sekta kosa Lao liko wapi?

Nashangaa sisi watz tuna matatizo sana, eti tusifiwe hata kama utendaji wetu ni mbovu kabisa ukilinganisha na wengine.

Hatupendi kukosolewa tunajiona tuko sahihi.
 
Back
Top Bottom