Mkuu huu ni ukweli mchungu ndani ya miezi 5 uliyo pita us dola imepanda dhidi ya Tsh. kutoka 1600 hadi 2400 /=. Hivi sasa ipo 2200/= baada ya mkopo kutoka SA & china, ambao unaweza kumentain hadi December. Chanzo hasa cha kuporomoka kwa sarafu ni uchotwaji wa pesa za eskroo kwenye viroba ilisababisha fedha nyingi za wahisani kusitishwa.Yaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi? Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!!!