Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,517
Watalimia meno. I wish I could be IGPOndoa nguvu ya dola alafu tuone
Watalimia meno. I wish I could be IGPOndoa nguvu ya dola alafu tuone
But He is a puppet of ImperialistsSalim Kikeke siyo mzungu..
Watanzania wote tuna imani na Rais wetu ndio maana nimesema sisi
Wote na nani?Watanzania wote tuna imani na Rais wetu ndio maana nimesema sisi
BBC ni Chombo cha serikali mkuu. Policy za economic colonizers ni pamoja na ku destabilise serikali zinazojitambua
Watalimia meno. I wish I could be IGP
[emoji1787][emoji23][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji16]Salim Kikeke siyo mzungu..
Umesahau neno wallahi ewe mfiachamaIndeed
Wadhungu fyeeekelea mbali
BAVICHA fyeeekelea mbali
Membe fyeeekelea mbali
Chadrama mcharuko mizee ya matukio fyeeekelea mbali
Hujui kwamba nguvu ya dola inatumika? Acha vi analysis uchwara wwProphet of doom
Toka mwaka 2015 tunaambiwa CCM imepasuka lakini ukichunguza unagundua kuwa CCM imeimarika. Ikumbukwe kabla ya 2016 ilikuwa unazomewa mitaani ukivaa nguo za CCM lakini kwa sasa zimekuwa kama fashion.
mzungu sio lazima awe mweupe kama ambavyo mkoloni si lazima awe mweupeSalim Kikeke siyo mzungu..
Misikubaliani na wazo lako, Kipimo kizuri ni ccm kujiamini na kuruhusu tume huru ya uchaguzi kama ilivyofanyika Ethiopia. Lakini kushangiliwa barabarani au kuzomewa sio kipimo halisi. Watu wanaweza kuwa wanafki au waoga, isipokuwa katika sanduku la kura 'huru' watakuonesha sura yao halisi kwa sababu mtu ana uhakika hakuna anayemuona au kumfuatilia.Prophet of doom
Toka mwaka 2015 tunaambiwa CCM imepasuka lakini ukichunguza unagundua kuwa CCM imeimarika. Ikumbukwe kabla ya 2016 ilikuwa unazomewa mitaani ukivaa nguo za CCM lakini kwa sasa zimekuwa kama fashion.
Wanajifanya wanaongeaaaa wakati wanajua kabisa kuwa wanatumia nguvu ya dola! Jinga kabisa hawaOndoa nguvu ya dola alafu tuone
Prophet of doom
Toka mwaka 2015 tunaambiwa CCM imepasuka lakini ukichunguza unagundua kuwa CCM imeimarika. Ikumbukwe kabla ya 2016 ilikuwa unazomewa mitaani ukivaa nguo za CCM lakini kwa sasa zimekuwa kama fashion.
Hureeee.....
Kikeke ni mzungu sasa!,Akili umeshikiwa na........Wazungu kuna kitu wanakitaka sna hii tanzania ambacho hawawezi kukipata kwa magu
Na sisi tupo pamoja na Rais
[emoji119][emoji119][emoji119]
Usiwe mvivu wa kufikiri... Hao wana habari nyeti na za ndani zaidi kuliko sisi lay men...Wazungu kuna kitu wanakitaka sna hii tanzania ambacho hawawezi kukipata kwa magu
Na sisi tupo pamoja na Rais
[emoji119][emoji119][emoji119]
Mwenye nguvu mpishe acha kumchokozaInaelekea unawaabudu Wazungu mkuu.Pole.Anyway, sasa sisi tukiisha wewe utakuwa wapi?