Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 25,443
- 46,201
TBCCM inatumika vizuri na CCMbibisi inatumika vibaya na wapinzani.
TBCCM inatumika vizuri na CCMbibisi inatumika vibaya na wapinzani.
Acha uoga wewe, jiwe outWazungu kuna kitu wanakitaka sna hii tanzania ambacho hawawezi kukipata kwa magu
Na sisi tupo pamoja na Rais
[emoji119][emoji119][emoji119]
Waanze kuhoji uraia wa Salum KikekeHahahaha,
Ifungieni na muwakamte wamiliki wake muwafunguie kesi ya uchochezi kama ujinga wenu unavyowapeleka
Slave master humtungia mtumwa wake kila aina ya jina ngoja nikate minyororo halafu tuone Nyumbu kumbe Simba.Nyumbu katika ubora wa hali ya juu kabisa
Kingekuwa kimeimarika kingeweza lindwa na mabunduki huenda kuliko magereza yaliyopo?Prophet of doom
Toka mwaka 2015 tunaambiwa CCM imepasuka lakini ukichunguza unagundua kuwa CCM imeimarika. Ikumbukwe kabla ya 2016 ilikuwa unazomewa mitaani ukivaa nguo za CCM lakini kwa sasa zimekuwa kama fashion.
Serikali ipi inayojitambua,hii ya Makinikia?BBC ni Chombo cha serikali mkuu. Policy za economic colonizers ni pamoja na ku destabilise serikali zinazojitambua
Wazungu kuna kitu wanakitaka sna hii tanzania ambacho hawawezi kukipata kwa magu
Na sisi tupo pamoja na Rais
[emoji119][emoji119][emoji119]
Sisi au wewe?
Nyie jamaa watu wa ajabu saba.. Wakiwasifia huwa mnakuja kukata mauno humi jukwaani leo wameleta habari isiyowapendeza eti kuna kitu wanakita. Hopeless kabisa.Wazungu kuna kitu wanakitaka sna hii tanzania ambacho hawawezi kukipata kwa magu
Na sisi tupo pamoja na Rais
[emoji119][emoji119][emoji119]
Ulitaka ukilinde wewe ndio ujue kuwa kimeimarika?Kingekuwa kimeimarika kingeweza lindwa na mabunduki huenda kuliko magereza yaliyopo?
Nili mwamini mwanzo sasa hivi, yaya geete.Watanzania wote tuna imani na Rais wetu ndio maana nimesema sisi
Ni ya Chadema!Ni kweli siyo mzungu na BBC ni ya nani?
Hahahaha!!!!! ...utasikia Mngazija huyo CCM imefanywa kuwa kikundi cha INTERAHAMWE ndani ya miaka mitatu tu.Waanze kuhoji uraia wa Salum Kikeke
Mfanyakazi wa mdhunguSalim Kikeke siyo mzungu..