BBC: Mgogoro mkubwa wazuka CCM, yapasuka

Tutawafukuza waandishi wao na kuzuia radio washirika kushiriki nao.

#LofaMimi
 
BBC kama naiona haina maisha marefu Tanzania. [emoji53] [emoji18]

Ila cha kuwakumbusha jamaa zetu, BBC sio kituo cha television binafsi (kama Chanel5, ITV, MilardAyo, Udaku T.V, Azam T.V, Clouds au TANZANITE ONLINE T.V ya Musiba) ni cha Malkia wa Uingereza. Sasa kama tutaona ni "muhimu na tunahitaji" kuingia katika bifu na Malkia Elizabeth;

1) Wakifungie kituo cha BBC ofisi zake Tanzania.[emoji18]

2) Wawakamate watangazaji wa BBC.[emoji18]

3) Watu wasiojulikana wavamie ofisi za BBC nchini Tanzania.[emoji53]

Tutaimba "sindimba" kwa lugha ya kichina au kidosi.

Nawasilisha,
Tukithubutu kuwahukumu BBC kwa mambo yao CCM aya ya kijinga, trst me hii nchi tutalimia meno, overrrr
 
BBC kama naiona haina maisha marefu Tanzania. [emoji53] [emoji18]

Ila cha kuwakumbusha jamaa zetu, BBC sio kituo cha television binafsi (kama Chanel5, ITV, MilardAyo, Udaku T.V, Azam T.V, Clouds au TANZANITE ONLINE T.V ya Musiba) ni cha Malkia wa Uingereza. Sasa kama tutaona ni "muhimu na tunahitaji" kuingia katika bifu na Malkia Elizabeth;

1) Wakifungie kituo cha BBC ofisi zake Tanzania.[emoji18]

2) Wawakamate watangazaji wa BBC.[emoji18]

3) Watu wasiojulikana wavamie ofisi za BBC nchini Tanzania.[emoji53]

Tutaimba "sindimba" kwa lugha ya kichina au kidosi.

Nawasilisha,
Ayo ni mambo ya kijinga ya CCM na sio wote kama Taifa, wako huru tu
 
FB_IMG_1544011366577.jpg
 
BBC ni Chombo cha serikali mkuu. Policy za economic colonizers ni pamoja na ku destabilise serikali zinazojitambua
Serikali ya JMT inaingiaje kwenye mambo haya ya kijinga na kizwazwa ya CCM??, tena BBC ata waje watusaidie kuliua liCCM
 
BBC ni Chombo cha serikali mkuu. Policy za economic colonizers ni pamoja na ku destabilise serikali zinazojitambua
Ukiwa na uchumi duni, sera zinazotungwa usiku mtu amelala, unanyanyasa raia wako kwa kuwalazimisha waunge juhudi hata kama hazifai, hutaki kuheshimu katiba, huamini ktk checks and balances. Hizo tu zinatosha kuku-destabilize hata bila shinikizo lolote toka nje.
 
BBC wanacheza ngoma aliyoianzisha Magufuli ikawachanganya wapinzani. Ni hakika nayo BBC imeanza kuwachanganya.

Uamuzi wa nani kuongoza nchi hii ni wa wewe, mimi, na Mtanzania yeyote aliye na umri wa kupiga kura na amejiandikisha. Mengineyo ni mapambio na vihoja vya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.
Sio kweli, ni tume ya uchaguzi ndio inaamua, sio wewe wala mimi.
 
BBC kama naiona haina maisha marefu Tanzania. [emoji53] [emoji18]

Ila cha kuwakumbusha jamaa zetu, BBC sio kituo cha television binafsi (kama Chanel5, ITV, MilardAyo, Udaku T.V, Azam T.V, Clouds au TANZANITE ONLINE T.V ya Musiba) ni cha Malkia wa Uingereza. Sasa kama tutaona ni "muhimu na tunahitaji" kuingia katika bifu na Malkia Elizabeth;

1) Wakifungie kituo cha BBC ofisi zake Tanzania.[emoji18]

2) Wawakamate watangazaji wa BBC.[emoji18]

3) Watu wasiojulikana wavamie ofisi za BBC nchini Tanzania.[emoji53]

Tutaimba "sindimba" kwa lugha ya kichina au kidosi.

Nawasilisha,
Eti sindimba kwa lugha ya kchina"[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]#Tukutane2020
 
Hakuna mgogoro CCM,Membe ame-clarify msimamo wake.Infact ameseme hata yeye asingeweza kufanya the good work which Comrade John Joseph Magufuli is doing.Watu wasisikilize ujinga wa BBC,they have a hidden agenda.Please listen to this clip.

Back
Top Bottom