Kwao kila anayewakosoa ni adui, huwa najiuliza hivi CCM nasikia kuna wasomi madokta na maprofesa, hivi hawa wote hawakuwahi kushiriki malumbano ya hoja kwenye debating clubs mashuleni hadi waamini katika matumizi ya nguvu kuwa suluhu ya kila kitu?Hahahaha!!!!! ...utasikia Mngazija huyo CCM imefanywa kuwa kikundi cha INTERAHAMWE ndani ya miaka mitatu tu.
CCM inakata roho 2020,baada ya hapo ni KaziNaBataKwa huu mgogoro nimejaribu kufikiria Kambi ya Membe,ya Bashiru na Kambi fulani hivi. Napata picha kwamba kuna Bomu Kali litafyatuka ila hopefully itakuwa 2025 sioni mantiki ya 2020 kwa sababu inaweza kuitwa uasi. Naomba Mungu aniweke hair niishuhudie Ccm ikikata roho 2025
Sema wewe,siyo SisiWazungu kuna kitu wanakitaka sna hii tanzania ambacho hawawezi kukipata kwa magu
Na sisi tupo pamoja na Rais
[emoji119][emoji119][emoji119]
Acha ujinga! Wewe unatusemea kama nani?!Watanzania wote tuna imani na Rais wetu ndio maana nimesema sisi
Wazungu kuna kitu wanakitaka sna hii tanzania ambacho hawawezi kukipata kwa magu
Na sisi tupo pamoja na Rais
[emoji119][emoji119][emoji119]
Watanzania wote tuna imani na Rais wetu ndio maana nimesema sisi
Ni wewe tu ndo uko naye, only you.Wazungu kuna kitu wanakitaka sna hii tanzania ambacho hawawezi kukipata kwa magu
Na sisi tupo pamoja na Rais
[emoji119][emoji119][emoji119]
ndio sio mzungu, but BBC ni ya nani?🙄Salim Kikeke siyo mzungu..
Mdhungu akiamua hamchukui round mchezo unakuwa umeshaisha.Mfanyakazi wa mdhungu
Hahahah!!! ISIS utawaumiza wenzio taratibuIndeed
Wadhungu fyeeekelea mbali
BAVICHA fyeeekelea mbali
Membe fyeeekelea mbali
Chadrama mcharuko mizee ya matukio fyeeekelea mbali
Kwendraaaaa utakufa wewe na wanao walahi
Wote na nani usitutie ujinga wako weweWatanzania wote tuna imani na Rais wetu ndio maana nimesema sisi
Inaelekea unawaabudu Wazungu mkuu.Pole.Anyway, sasa sisi tukiisha wewe utakuwa wapi?Mdhungu akiamua hamchukui round mchezo unakuwa umeshaisha.
Wewe mgese nitoe katika hao wapuuzi wenzakoWatanzania wote tuna imani na Rais wetu ndio maana nimesema sisi
Ulitaka ukilinde wewe ndio ujue kuwa kimeimarika?
Kweli kabisa. BBC wametumwa na Tundu LissuWatanzania wote tuna imani na Rais wetu ndio maana nimesema sisi