Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,218
- 138,645
Wazungu kuna kitu wanakitaka sna hii tanzania ambacho hawawezi kukipata kwa magu
Na sisi tupo pamoja na Rais
[emoji119][emoji119][emoji119]
.Salim Kikeke siyo mzungu..
Sisi au wewe?Wazungu kuna kitu wanakitaka sna hii tanzania ambacho hawawezi kukipata kwa magu
Na sisi tupo pamoja na Rais
[emoji119][emoji119][emoji119]
Ni kweli siyo mzungu na BBC ni ya nani?Salim Kikeke siyo mzungu..
Hahahaha,bibisi inatumika vibaya na wapinzani.
Watanzania wote tuna imani na Rais wetu ndio maana nimesema sisiSisi au wewe?
Usiwasingizie Wazungu wazungu wakiamua wanazuia ARV,s tu.Wazungu kuna kitu wanakitaka sna hii tanzania ambacho hawawezi kukipata kwa magu
Na sisi tupo pamoja na Rais
[emoji119][emoji119][emoji119]
Tunawachia Basata kufungia matangazo ya Bibisii.Hahahaha,
Ifungieni na muwakamte wamiliki wake muwafunguie kesi ya uchochezi kama ujinga wenu unavyowapeleka
Kwani salim kikeke ndio bbc?Salim Kikeke siyo mzungu..
Tengua kauli yako sio watanzania wote mimi ni mtanzania ila sina imank nae, hata kama watz woteeeee watakuwa na imani nae mimi NEHIWatanzania wote tuna imani na Rais wetu ndio maana nimesema sisi
Upo pamoja na rais[emoji818]Wazungu kuna kitu wanakitaka sna hii tanzania ambacho hawawezi kukipata kwa magu
Na sisi tupo pamoja na Rais
[emoji119][emoji119][emoji119]
Yeye ni msoma habari hivyo kaletewa kama ilivyoandikwa usije mchonganisha na tz yetuSalim Kikeke siyo mzungu..
Tumekuwa watumwa ndani ya nchi yetuWatanzania wote tuna imani na Rais wetu ndio maana nimesema sisi