BBC: Mgogoro mkubwa wazuka CCM, yapasuka

BBC: Mgogoro mkubwa wazuka CCM, yapasuka

Kuna Mhamiaji haramu toka Karagwe aluekulia Viunga vya Chuo Kikuu Cha Dar Es salaam inapaswa atangazwe hadharan Ni adui wa CCM Na Serikal ya Rais Magufuli

Nchi Na Chama ilikuwa shwari lakin Kwa nia ovu Na makusudi kabisa anachafua bahari akiwa hajui madhara yake

Amiri Jeshi amshurutishe Comrade Kinana kurudi Uwanja wa Vita maana kuna Mamluki anataka Cha chetu kipasuke
Hizi tuhuma za mhamiaji kupasua Ccm ni kubwa sidhani kama kuna mamluki wa kuiyumbisha Ccm na kuhusu Kinana alishatuhumiwa na Musiba hivyo hawezi kurudi.
 
Nasubiri ajitokeze yule wa kifungu 31 cha katiba ilioyo opo na atuambie ana mpango gani na hii nchi
 
BBC kama naiona haina maisha marefu Tanzania. [emoji53] [emoji18]

Ila cha kuwakumbusha jamaa zetu, BBC sio kituo cha television binafsi (kama Chanel5, ITV, MilardAyo, Azam T.V au Clouds) ni cha Malkia wa Uingereza. Sasa kama tutaona ni "muhimu na tunahitaji" kuingia katika bifu na Malkia Elizabeth;

1) Wakifungie kituo cha BBC ofisi zake Tanzania.[emoji18]

2) Wawakamate watangazaji wa BBC.[emoji18]

3) Watu wasiojulikana wavamie ofisi za BBC nchini Tanzania.[emoji53]

Tutaimba "sindimba" kwa lugha ya kichina au kidosi.

Nawasilisha,
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji2]
 
1) Wakifungie kituo cha BBC ofisi zake Tanzania.[emoji18]
2) Wawakamate watangazaji wa BBC.[emoji18]
3) Watu wasiojulikana wavamie ofisi za BBC nchini Tanzania.[emoji53,

1. Wakifungia BBC Tanzania, BBC itaacha kuisema Tanzania?
2. Wakiwakamata wafanyakazi wa BBC Tanzania, watawashitaki kwa kosa gani wao kama watu binafsi?
3. Wasiojulikana wakivamia ofisi za BBC, watafuata nini?

Mkuu hayo ni aina yamapendekezo yanatolewa na Lumumba, na yakifika Bungeni wabunge wa CCM wanaunga mkono ndiyooooooo!
 
BBC kama naiona haina maisha marefu Tanzania. [emoji53] [emoji18]

Ila cha kuwakumbusha jamaa zetu, BBC sio kituo cha television binafsi (kama Chanel5, ITV, MilardAyo, Udaku T.V, Azam T.V, Clouds au TANZANITE ONLINE T.V ya Musiba) ni cha Malkia wa Uingereza. Sasa kama tutaona ni "muhimu na tunahitaji" kuingia katika bifu na Malkia Elizabeth;

1) Wakifungie kituo cha BBC ofisi zake Tanzania.[emoji18]

2) Wawakamate watangazaji wa BBC.[emoji18]

3) Watu wasiojulikana wavamie ofisi za BBC nchini Tanzania.[emoji53]

Tutaimba "sindimba" kwa lugha ya kichina au kidosi.

Nawasilisha,
Kwanini wasifungue kituo cha redio china hapa nchini, ili tusifie tuu
 
OTE="wa stendi, post: 29476840, member: 374375"]Yeye ni msoma habari hivyo kaletewa kama ilivyoandikwa usije mchonganisha na tz yetu[/QUOTE]
Naona Watanzania tumeichoka amani.
 
Ushabiki wetu utatuangamiza, maana tunashabikia ugomvi ambao unaweza ukaleta madhara makubwa SANA kwa taifa. Tupunguze USHABIKI ndugu zangu.
 
Wazungu kuna kitu wanakitaka sna hii tanzania ambacho hawawezi kukipata kwa magu
Na sisi tupo pamoja na Rais
[emoji119][emoji119][emoji119]
Mtu makini hamwungi mkono mtu kwa nia tu ya kuunga mkono bali huwa na kiongozi wake kwa mambo anayoyasimamia.

Wewe upo na Rais kwa kila kitu? Au upo na Rais katika mambo gani?
 
Watanzania wote tuna imani na Rais wetu ndio maana nimesema sisi
Na wewe siyo msemaji wao! Waache wana midomo na mikono yao waseme wenyewe! Hawajakutuma na acha kabisa kujipendekeza kwao!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Magu atashuka na watu jumla jumlaaa yanii vilee ashaonjaa utamu wa madarakaa
 
Wazungu kuna kitu wanakitaka sna hii tanzania ambacho hawawezi kukipata kwa magu
Na sisi tupo pamoja na Rais
[emoji119][emoji119][emoji119]
Aliyezua mgogoro ni wazungu au Bashiru Ali? Halaf huyu Bashiru si heri naye angeitwa Bashite tu....yan Bashire Ali!
 
BBC kama naiona haina maisha marefu Tanzania. [emoji53] [emoji18]

Ila cha kuwakumbusha jamaa zetu, BBC sio kituo cha television binafsi (kama Chanel5, ITV, MilardAyo, Udaku T.V, Azam T.V, Clouds au TANZANITE ONLINE T.V ya Musiba) ni cha Malkia wa Uingereza. Sasa kama tutaona ni "muhimu na tunahitaji" kuingia katika bifu na Malkia Elizabeth;

1) Wakifungie kituo cha BBC ofisi zake Tanzania.[emoji18]

2) Wawakamate watangazaji wa BBC.[emoji18]

3) Watu wasiojulikana wavamie ofisi za BBC nchini Tanzania.[emoji53]

Tutaimba "sindimba" kwa lugha ya kichina au kidosi.

Nawasilisha,
haahaaaaa kweli wewe ni Alexander The Great
 
Back
Top Bottom