Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,518
- 9,806
Watz tumeingizwa katika malumbano na tumesahau ajenda za Kooroshow, Akina Mbowe, Mvua hainyeshi vizuri maeneo mengi, nk. Nchi ilikosa tukio la kuongelea baada ya Lile la koroshow ngoja.
Watz tumeingizwa katika malumbano na tumesahau ajenda za Kooroshow, Akina Mbowe, Mvua hainyeshi vizuri maeneo mengi, nk. Nchi ilikosa tukio la kuongelea baada ya Lile la koroshow ngoja.
"Bbc ni ya mbowe na lema".bashirubibisi inatumika vibaya na wapinzani.
Mbona Mimi sins imani naye?Watanzania wote tuna imani na Rais wetu ndio maana nimesema sisi
Kilindwa kwa Sera zake nzuri sio mibunduki mpaka unaua mwanafunzi Akwilina!Ulitaka ukilinde wewe ndio ujue kuwa kimeimarika?
Utumwa huu umesababishwa na Jiwe mwenyewe kutokuwa na upendo kwa Watz wote hasa Wapinzani wake kiaiasa. Yeye kwa kaulil zake amewafanya wasaidizi/watendaji kuwahujumu kiuchumi wapinzani. Rejea jengo la Free Media pamoja na mashamba ya Mh Mbowe.Tumekuwa watumwa ndani ya nchi yetu
Ni wakati wakati wa kutafakari na kuchukua hatua
View attachment 956063
Wazungu kuna kitu wanakitaka sna hii tanzania ambacho hawawezi kukipata kwa magu
Na sisi tupo pamoja na Rais
[emoji119][emoji119][emoji119]
BBC wanacheza ngoma aliyoianzisha Magufuli ikawachanganya wapinzani. Ni hakika nayo BBC imeanza kuwachanganya.BBC kama naiona haina maisha marefu Tanzania. [emoji53] [emoji18]
Ila cha kuwakumbusha jamaa zetu, BBC sio kituo cha television binafsi (kama Chanel5, ITV, MilardAyo, Azam T.V au Clouds) ni cha Malkia wa Uingereza. Sasa kama tutaona ni "muhimu na tunahitaji" kuingia katika bifu na Malkia Elizabeth;
1) Wakifungie kituo cha BBC ofisi zake Tanzania.[emoji18]
2) Wawakamate watangazaji wa BBC.[emoji18]
3) Watu wasiojulikana wavamie ofisi za BBC nchini Tanzania.[emoji53]
Tutaimba "sindimba" kwa lugha ya kichina au kidosi.
Nawasilisha,
BBC imeongelea ccm, wewe unamuingiza rais. hivi huwa mnatumia nini kufikiriaWazungu kuna kitu wanakitaka sna hii tanzania ambacho hawawezi kukipata kwa magu
Na sisi tupo pamoja na Rais
[emoji119][emoji119][emoji119]
Endelea kusoma gazeti la Uhuru.Mabibi sii wanatumika
Wazungu kuna kitu wanakitaka sna hii tanzania ambacho hawawezi kukipata kwa magu
Na sisi tupo pamoja na Rais
[emoji119][emoji119][emoji119]
Kwa nini unasema hivyo, Dreka?bibisi inatumika vibaya na wapinzani.
Jithamini kama Mtanzania.Tutaimba "sindimba" kwa lugha ya kichina au kidosi.
Walikuka masharti ya dhamana waliyopewa na mahakama.Kwa kauli zake hizo hizo nini kimewapata Mh Mbowe na Mh Matiko kiasi cha kustahili kuwa magerezani??
Ni lazima uwe na changamoto kubwa grofani ili kufikiri unaweza kuwasemea watanzania. Ni watu wenye matatizo kama yako tu ndo wanaoweza kuwa na imani na mtu matatizo kama yako!Watanzania wote tuna imani na Rais wetu ndio maana nimesema sisi
Ni wewe peke yako. Hatushabikii uhalifu.Wazungu kuna kitu wanakitaka sna hii tanzania ambacho hawawezi kukipata kwa magu
Na sisi tupo pamoja na Rais
[emoji119][emoji119][emoji119]
Nini kiini cha wao kupelekwa mahakamani wakati waliompiga Aquiline risasi zilizomuondolea uhai wake wanajulikana ni kina nani?? Wameachiwa huru kwenye kituo cha polisi nakuambiwa hawana hatia. Nikweli hawakuwa na hatia?? Je nani mwenye mamlaka ya kuona mwenye hatia na asiye na hatia sio mahakama??Walikuka masharti ya dhamana waliyopewa na mahakama.