Dah,
Sasa ndipo wanatangazwa. Wanaoangalia Channel 10 via JumpTv basi ni wakati muafaka.
Will Richard make it?
Huyu si ndio kilikuwa kitu chake?Tatiana OUT
Huyu si ndio kilikuwa kitu chake?
Mshikaji atachukua tu japo sijaona show yao lakini naona anapewa flag sana.
CMB yuko wapi atupatie live pics.....au Invs uwe unaturushia masnepu
Poa mkuu,huyo mtasha atamrudia tu...unacheza na mnyamwezi 100,000mkuuRichard anaonekana kuwa na nyota nzuri katika Jumba hili japo inasemekana mkewe kishamtema baada ya kumwona akifanya madude na Tatiana.
Poa mkuu,huyo mtasha atamrudia tu...unacheza na mnyamwezi 100,000mkuu