Ze observer
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 232
- 491
Hivi bavicha ndio BALAZA LA VICHAA CHADEMA?
Sio poo alienda kuwakilisha mawazo yake sababu ni eneo pana lakuwakilisha mawazo yake na watanzania wote kumuona na kumsikiza.
Kama alivyo Msukuma Kashekushamsa ford nae ni think tank wa chadema sio?
Huyo mwenye kofia amenitoa machoziBabu yenu alisha watabiria kifo na kuzikwa kabisa, vinginevyo unamkanaView attachment 1287131View attachment 1287133
Kila mwanachama ana umuhimu wake!Daah imefikia hatua shamsa anakua muhimu ndani ya chama ..ehehe
Tatizo la hawa watu ikisha karibia uchaguzi na wao kupewa fungu lao utasikia wameita waandishi wa habari nakutangaza kurudi nyumbani. Siwaamini hata kidogo. Sijui wanatumwa ama ni mawazo yao?Habari kamili hii hapa.
View attachment 1286736
ni wanachama wa kawaida sana , kwa mfano wema alipoondoka alimtikisa nani ?Tatizo la hawa watu ikisha karibia uchaguzi na wao kupewa fungu lao utasikia wameita waandishi wa habari nakutangaza kurudi nyumbani. Siwaamini hata kidogo. Sijui wanatumwa ama ni mawazo yao?
Usidharau kuondoka kwa mwanachama. Hata kama akiondoka peke yake kura yake ndio imesha punguza idadi.ni wanachama wa kawaida sana , kwa mfano wema alipoondoka alimtikisa nani ?
mwanamke ni mwanamke tu hawa viumbe sio wa kuwaamini 100% hawajaingia anga za akina makonda na pedejhee ndama mutoto ya ,,,wakifikishwa tu wanauza chama shiiiiiit cdm msidanganyikeHabari kamili hii hapa.
View attachment 1286736
Mwanamke nyongaChuraless shamsha, ndio mtu atoe 20m mahari hapo?
Hehehehe weka tuweke!!Mwanamke nyonga