Bavicha yatikisa, Shamsa Ford alipua shangwe, asema wazi kwamba vijana wanaopenda maendeleo wako Chadema

CDM achaneni na hizi siasa za Bongo movie sio rafiki kwa upinzani, hawa wako kwa ajili ya kutafuta umaarufu na sio dhamira ya dhati kuwapigania watanzania, hawa tayari hawa kuteseka kwa ajili ya watu wengine..

Vijana jitahidini msome historia za wanamapinduzi kama akina Che-Guevara lipo jambo la kujifunza hapo..
 
December 9, 2019

MKUTANO MKUU WA VIJANA CHADEMA BAVICHA 2019

Katibu Mkuu wa CHADEMA atoa hotuba nzito kuhusu muelekeo na mkakati / strategy ya kuelekea 2020 ya ushindi

Source: MCL Digital
 
Wakuu tunaomba mtuwie radhi sana , hatuna lengo la kuwachosha na habari za Chadema , ila ndio zinazo trend kwa sasa .
 
viva CHADEMA viva
Hakuna kulala
FB_IMG_1487930157486.jpeg
 
Back
Top Bottom