BAVICHA Ifukuze waasi wote - Ben Saanane

BAVICHA Ifukuze waasi wote - Ben Saanane

ongeza na Festo Sanga, Mtela Mwampamba et al. Hawa ndo kundi la watu wanaozusha habari za uongo na zisizo na ushahidi kwenye mitandao.

pumba za mchange na mwampamba kwenye facebook hizi hapa chini kuhusu dr.slaa
[h=5]Habib Mchange[/h]22 hours ago via BlackBerry Smartphones App

Ewe mwanagarakati, vipi umesharudisha kadi yako ya CCM?. Ama bado nawewe unaitunza kama kumbukumbu kwa wanao?

Habib Mchange all. Unawezaje kubadili dini kutoka ukristo kwenda uislam kisha kila jumaapili unahudhuria misa kanisani?..haahahahaha, ni wenye akili timamu tu ndio wanaweza kunielewa



  • Habib Mchange all. Kujiua kisiasa ni kuishi kama pakashume na nafsi mbili mbili kama gube gube?...mnaowaza kitoto mtajadili kitoto, sisi tunaojua maana wala hatudanganyiki. Tutashugulika na kila aina ya mamluki!...operesheni ONDOA NDUMILAKUWILI!..
    19 hours ago


    • Habib Mchange Hatuwezi tukaheshimiwa kama tunaweza kulalama kuhusu kitu hicho hicho kwa mtu fulani halafu tukakinyamazia hicho hicho kwa mwingine, hiyo ni political blindness, waacheni wanafiki waitwe wanafiki maana siku zao zimekamilika.
      19 hours ago


      • Habib Mchange Juan msani CR. Kuwa na hoja ni kuwa na nyuso mbili mbili?..ama kuwa mnafiki, au unapenda kuwa "ndio mzee?"...mie sio wa kihivyo, mimi nafanya siasa kwa kufuata principals za siasa zinavyotaka..kwenye siasa hakuna kitu kinachoitwa kufunika kombe mwanaharamu apite...tutawaita wanafiki wote wa kisiasa kuwa ni wanafiki hadharani na mioyoni...tulipotezewa muda na augustino mrema na leo hii hatutaweza kukubali kupotezewa tena muda na wazee wa namna hii wanafiki wa kisiasa....hakuna mtu anayeweza kuwa wa VUGU VUGU, ni lazima uwe MOTO ama BARIDI!..
        19 hours ago · 1

        • Habib Mchange Juan msami cr. Maslahi ya taifa yanahitajika kupatikana kwa kutumia watu wasio na ndimi mbili mbili...lazima watu waweze kusema ukweli na kujisimamia...ukisema tu hakuna maslahi wala tija kwa taifa, hapa hatuzungumzii uanachama wa taifa, tunazungumzia uanachama wa chadema na ccm...kwa hiyo sisi wana chadema tunaojifahamu sawa sawa tunajua kabisa kuwa na kadi mbili kwetu sisi ni out of our interests...hatuwezi kuishi na mapopo ya kisiasa kama haya...wanafiki ni wanafiki tu bila ya kujali majina na nyumri zao...
          19 hours ago


          • Habib Mchange SAUL mwaisenye..mhatuwezi kuruhusu kuendelea kuishi na mamluki wa kisiasa kwenye vyama vyetu. Lazima tuwaseme tena kwa sauti kubwa ili wachague moja, either wawe baridi ama moto... Juan Msami cr..nani mwenye uchu wa madaraka sasa kati yangu mimi mwenye kadi moja ya CDM na huyo mwenye kadi mbili za CDM na CCM?...
            18 hours ago








            • Mtela Mwampamba Kuna watu wanandimi mbili na wanawatu wanaowaaminia kama wafuasi wa kibwetele.
              17 hours ago via mobile


              • Habib Mchange Kadi ya chama ni mali ya mwanachama na chama chake, ndio maana akiwakoroga huvuliwa uanachama..
                about an hour ago








































 
Last edited by a moderator:
Fred Kavishe

Umeonyesha wewe ni mwanamapinduzi hasa.Nina swali moja kwako:Vijana hawa tayari upo ushahidi usio na shaka kwamba wamehongwa mamilioni ya Fedha kwa lengo la kuua chama na kazi ya kwanza waliyopewa ni kumuua kisiasa kiongozi namba moja tishio nchini Dr Slaa.Sasa nakuuliza Je,watu hawa waachwe tu wakamilishe kazi waliyopewa? Ukinijibu hili nitakuuliza lingine.
Molemo unaweza kuthibitisha tuhuma zako? Nani atajitia dhambi kuua kikongwe cha miaka 72? Huyo Slaa hana bao miaka yake miwili tu atakuwa kashajichokea choke hatuna haja kuhangaika naye sisi tunapiga goli la mbali sera na utakelezaji wake ndio unaoua upinzani
 
Last edited by a moderator:
Kazi imeanza ndani ya Chadema...mnatafutana wachawi wakati kiongozi wenu Dr Slaa ndio pandikizi namba moja la CCM limeienzi kadi ya CCM.
 
Kazi imeanza ndani ya Chadema...mnatafutana wachawi wakati kiongozi wenu Dr Slaa ndio pandikizi namba moja la CCM limeienzi kadi ya CCM.

With respect mkuu ritz jikite kwenye hoja hivi ni pandikizi kwa miaka mingapi 17 ndo mje kusema pandikizi.

Pandikizi aliyewaweka wazi mafisadi pale mwembe yanga,pandikizi aliye ipeleka EPA bungeni na kuonekana mzushi.
 
Molemo unaweza kuthibitisha tuhuma zako? Nani atajitia dhambi kuua kikongwe cha miaka 72? Huyo Slaa hana bao miaka yake miwili tu atakuwa kashajichokea choke hatuna haja kuhangaika naye sisi tunapiga goli la mbali sera na utakelezaji wake ndio unaoua upinzani

You sound like ugly woman.
 
Last edited by a moderator:
Na mimi naomba nikuulize swali dogo kuna ushahidi wa wazi kuwa wamepewa pesa kama upo na wamepokea waitwe kwenye vikao vya ndani ya chama wakubali haya warudishe hizo pesa na wakubali kuacha upuuzi wao wa kuchafua viongozi ndani ya chama.

Ndo maana nikasema chama kina kamati ya ulinzi na usalama kiwaweke chini hawa vijana warudi kwenye mstari ikishindikana kabisa ndo wafukuze mimi naamini kuna wengi waovo sana lakini baada ya kukanywa kupewa ushauri mzuri wanarudi kwenye mstari

Fred
Ushahidi uko wazi kabisa hata wa video ukitaka utapata.
 
Waanze na katibu mamluki mwenye uanachama wa vyama viwili.Halafu waje kwa Heche asiyefanya kazi zake bali kuwa bendera wa Viongozi wa chama

kama kadi mbili mbona nape hamjamfukuza na group lake wale wanachama hai wa ccj mwakyembe na sita
 
BAVICHA kunani tena VIJANA?

VIJANA KUMBUKENI MILUZI MINGI........

NA MSHIKA MAWILI NAYE.....
 
Mwanasiasa kijana ndani ya chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA ambaye nyota yake iko juu Ben Saanane amelitaka Baraza la vijana CHADEMA BAVICHA kuwafukuza waasi wote wanatumiwa kukihujumu chama.

Namnukuu:
ben sanane tusaidie kuwabaini vitendo vyao viovu pia maana hawa ndio watu wa lowassa
 
You sound like ugly woman.
Molemo mbona umekuja na majibu mepesi? Si afadhali hata ungemtaja Mbowe? Kikongwe yule wa nini? Tujitie dhambi za bure miaka yake 2 tu; atajinyamazia mwenyewe hatuumizi kichwa kidogo
 
Last edited by a moderator:
Wasaliti wakubwa hao,ni kuwafukuza mbali,wananunuliwa utu wao ina mana hata kuolewa ni rahisi kwao
 
With respect mkuu ritz jikite kwenye hoja hivi ni pandikizi kwa miaka mingapi 17 ndo mje kusema pandikizi.

Pandikizi aliyewaweka wazi mafisadi pale mwembe yanga,pandikizi aliye ipeleka EPA bungeni na kuonekana mzushi.


Majanikv,
Ebu niambie faida ya Dr Slaa kuienzi kadi ya CCM.
 
Last edited by a moderator:
Kazi imeanza ndani ya Chadema...mnatafutana wachawi wakati kiongozi wenu Dr Slaa ndio pandikizi namba moja la CCM limeienzi kadi ya CCM.

kama ndevu zimeoza mwili utakuwaje mtaalam teh teh
 
Kijana unapokuwa msaliti wa kizazi kijacho ni laana..hao kina sijui mchage,shonza wana nini kikubwa cha kuwaogopa,na kama chadema akufai wana subiri nini wanga hao.
 
Molemo mbona umekuja na majibu mepesi? Si afadhali hata ungemtaja Mbowe? Kikongwe yule wa nini? Tujitie dhambi za bure miaka yake 2 tu; atajinyamazia mwenyewe hatuumizi kichwa kidogo

You still sound like rotten ugly woman
 
Last edited by a moderator:
Naungana na kamanda Ben! Wasaliti wote niwa kufukuza ingali bado asubuhi, hatuwezi kuvumilia watu wachache wenye tamaa na vipande vya fedha wadhoofishe nguvu ya mabadiliko kwenye chama, wakizidi kuachwa watakuja kukiumiza chama zaidi kuliko wanavyofanya sasa kupitia vitabu vyao vya sura (FB). Hili limekemewa wakati unao faa, ni bora wachague pakwenda ili wachache tutakao baki tujue mkondo sahihi wa kukivusha chama.

Tumesha anza kuwatambua kwa matendo yao, wanazidi kujivua nguo, wamebaki watupu na tupu zao zina dondosha funyo wanao nuka harufu ya lile gamba, gamba chakavu lenye rangi ya kijani na picha ya jembe na nyundo, jembe kuzika fikra za mabadiliko na nyundo kupigilia msumali demokrasia ya kweli.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Angalia tu wasije wakaanza kukufukuza wewe!
 
Kazi imeanza ndani ya Chadema...mnatafutana wachawi wakati kiongozi wenu Dr Slaa ndio pandikizi namba moja la CCM limeienzi kadi ya CCM........

Unapenda kuingilia thread za watu ili kuziharibu.Sitaki kabisa uguse thread zangu.Nenda sasa Lumumba kachukue bahasha yako.Huna hata aibu.
 
Back
Top Bottom