Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Kumekuwa na sintofahamu kati ya Majiji haya mawaili yanatotikisa Tanzania ukiachilia Dar.

Majiji haya yamezua gumzo miongoni mwa watu kwa kujaribu kuyashindanisha lakini pamoja na kuyashindanisha kote bado watu hawajapata jibu la moja kwa moja kwamba ni mji gani mzuri na una fursa kubwa za kimaisha kuliko mwingine pamoja na ukuaji wa maendeleo.

Karibuni mchangie
Mwanza ipo hela
 
Hapa tunafanya comparison ya Halmashauri za Majiji yaani Mwanza Mjini na Arusha Jiji

ARUSHA Jiji ipo hela Kwa maana ya Shughuli za kiuchumi ambapo Mwaka 2024 waliingiza Bilioni 40 na Mwanza Jiji waliingiza Bilioni 30

Hivyo Arusha Jiji ipo hela kuliko Mwanza jiji
 
Mwanza walishajitoa baada ya kukosa Cha ku post 😂😂

Arusha again 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DbaodmqIfJl/?igsh=MTF3YTU4dWQ1NnIzdw==

Mwanza inakimbiza kimyakimya hakuna kelele. Noma sana. All are new projects. Kama unaweza kuzoom hapo utaona majengo mengi mapya yanajengwa.
Screenshot_20260912_154927_WhatsApp.jpg
 
Hapa tunafanya comparison ya Halmashauri za Majiji yaani Mwanza Mjini na Arusha Jiji

ARUSHA Jiji ipo hela Kwa maana ya Shughuli za kiuchumi ambapo Mwaka 2024 waliingiza Bilioni 40 na Mwanza Jiji waliingiza Bilioni 30

Hivyo Arusha Jiji ipo hela kuliko Mwanza jiji
Mwanza hainaga kelele sana ila watu wako bize sana kujenga mji wao. Arusha iko na hela ila haina ukuaji kama Mwanza. Hizi zote ni projects mpya kabisa na zote ni Private sector.
IMG_20260703_100618.jpg
IMG_20260703_123413.jpg
IMG_20260703_122142.jpg
 
Back
Top Bottom