Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mwanza nimesoma, na Arusha pia ..... Kiukweli mwanza ipo vzr shida ya Arusha wanataka kuwa juu na hawana hoja

Kote ni kuzuri ila mwanza ilishaitangulia chuga
Mwanza Ina hoja gani za kuzidi Arusha?
-Mnazidiwa Viwanda
-Mnazidiwa Mapato
-Mnazidiwa magorofa
-Mnazidiwa mahoteli
-Mnazidiwa miundombinu mizuri
-Mnazidiwa Jiji kuwa vibrant
-Mnazidiwa Hadi umaarufu

Sasa hizo hoja zenu ni zipi? Kile kichaka chenu kinaenda kufika mwisho

View: https://www.instagram.com/reel/DUTMiowjFSR/?igsh=MTJ3emRnN2ozeXVs
 
Kuna wale walalamishi wanasubiria Serikali 😂😂👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DWgC8THiGmd/?img_index=2&igsh=MWU0bGE3NzgyY3V1NA==
jiji_la_arusha_1774857729352.webp
jiji_la_arusha_1774857730886.webp
 
Back
Top Bottom