nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 7,007
- 12,644
Mwanza napapenda ila kwasasa tukizungumzia miji inayopewa sapoti ukitoa dar ni Dom na Arusha...Inajengwa kama hapa
View attachment 3670559
Na hii itafanya Mwanza yetu iwe kwenye nafasi ya 4.
Mwanza napapenda ila kwasasa tukizungumzia miji inayopewa sapoti ukitoa dar ni Dom na Arusha...Inajengwa kama hapa
View attachment 3670559
Hamnaga picha zingine zaidi ya halo kajengo? 😂😂Hii tutaita concrete great forest of amazon
View attachment 3670565
Iwe mara ngapi? Mwanza vs Mbeya ndio ligi yenu 😂Mwanza napapenda ila kwasasa tukizungumzia miji inayopewa sapoti ukitoa dar ni Dom na Arusha...
Na hii itafanya Mwanza yetu iwe kwenye nafasi ya 4.
Vitu kutoka Miji ya Kimataifa,huko mwaloni huwezi ona 😂😂👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DDyuuZYMQD4/?stkn=MWc4MjZ1dGliMDVqNw==
We hapo umeon hilo dude fungua hayo macho tazama hiyo jungle book hapo.Hamnaga picha zingine zaidi ya halo kajengo? 😂😂
Kwanza kanafanya kazi?
Ila Mwanza mnatia aibu ,Sasa hapo Kuna nini? Yaani Kwa Sasa unaweza linganisha Mwanza vs Sumbawanga 😂😂Toka huko madongo kuinama njoo hapa the roooockkkkkk city
View attachment 3670569
Jumlish hiyo arusha, weka dodoma na mbeya mavumbini then mkujeIwe mara ngapi? Mwanza vs Mbeya ndio ligi yenu 😂
Ila Mwanza mnatia aibu ,Sasa hapo Kuna nini? Yaani Kwa Sasa unaweza linganisha Mwanza vs Sumbawanga 😂😂
Kitu hicho pande Cha Chuga 🔥🔥🔥👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/Dan_Vc0uoxU/?stkn=MTNwaGVtdjZ6aW81eQ==
Basi sawa 😂😂😂👇👇Jumlish hiyo arusha, weka dodoma na mbeya mavumbini then mkuje
Ila Mwanza mnatia aibu ,Sasa hapo Kuna nini? Yaani Kwa Sasa unaweza linganisha Mwanza vs Sumbawanga 😂😂
Kitu hicho pande Cha Chuga 🔥🔥🔥👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/Dan_Vc0uoxU/?stkn=MTNwaGVtdjZ6aW81eQ==
Unayemuuliza hata Arusha haijui😂😂😂Hivi pale Impala wanajenga nini maana naona kuna clane za kutosha
Siko Arusha so Sina taarifa kamili.Huu ukumbi inajengwa location ipi?Hivi pale Impala wanajenga nini maana naona kuna clane za kutosha
Hapa Kuna nini?Huko ndio mnajifichia kula hizi za moto moto
View attachment 3670577
Nisijue Arusha nilikosoma na ambako Kila mwaka naenda kwenye meeting? Hauko Serious.Unayemuuliza hata Arusha haijui😂😂😂
Kuna jengo kubwa sana linashuka hapa maeneo ya Impala...Siko Arusha so Sina taarifa kamili.Huu ukumbi inajengwa location ipi?
Hotel zinajengwa kama wana ugomvi na ardhi