ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,309
- 89,717
Ngoja nifuatilie source zanguKuna jengo kubwa sana linashuka hapa maeneo ya Impala...
Sasa sijajua ni huo ukumbi au lah
Umekubali mwenyeweHotel zinajengwa kama wana ugomvi na ardhi
Ngoja nifuatilie source zanguKuna jengo kubwa sana linashuka hapa maeneo ya Impala...
Sasa sijajua ni huo ukumbi au lah
Umekubali mwenyeweHotel zinajengwa kama wana ugomvi na ardhi
Unazijua hoteli wewe? Hizi lodge za mjini ndio Hoteli?😂😂
Hotel zinajengwa kama wana ugomvi na ardhi
Pumbavu nini nakuambia Mwanza wanajenga ma hotel kama wanashindana we unaleta habari za vijiji vyakoNgoja nifuatilie source zangu
Umekubali mwenyewe
Pumbavu nini nakuambia Mwanza wanajenga ma hotel kama wanashindana we unaleta habari za vijiji vyako
Kama hakuna crane ujue hizo ni guest house hata Katoro zinajengwa 😂🪖
Kama hakuna crane ujue hizo ni guest house hata Katoro zinajengwa 😂🪖
Arusha 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DU7ZWYRiN-u/?stkn=MTN5bnd5Y2piZTR2MQ==
Arusha sio Mwanza haijawahi kuwa na kajengo kamoja.Arusha kuna kajengo kamoja tu kila muda unakapost ongeza na vijengo vya taasisi kule dodoma mkujeee
Vitu kama hivi mpaka kudra ya serikali
Vitu kama hivi mpaka kudra ya serikali
Pale wanajenga upya hiyo hoteli ya Impala maana ilikufaga Sasa inafufuliwa so tutarajie mazingira mapya baada ya mradi kukamilika.Kuna jengo kubwa sana linashuka hapa maeneo ya Impala...
Sasa sijajua ni huo ukumbi au lah
Lala na haka kwanza kutoka the rock city
View attachment 3670589
Nimekukataza kuweka kapicha kamoja kamoja ,hata Sumbawanga zipo.
Mwanza na Arusha ipi Ina uafadhari wa kupangika?Arusha ni Jiji ambalo halijapangika vizuri. Ukitoka hapo Mnara wa Mwenge kuja Mianzini, Ilboru na Sanawari utabaini Kuna Skwata za kutosha.
Ukitoka Round about ya Fire kuelekea Unga Limited au ESSO Uswahilini Dampo pia Skwata za Kutosha
Ukitoka Round about ya Kijenge kuelekea Moshono kijenge juu na chini sue banana na kwingineko pia SKWATA ZA KUTOSHA
Wewe ushajibiwa hapo,Arusha bado inachangamoti kubwa sana ila Mwanza changamoto yake ni jiografia ya milima.Mwanza na Arusha ipi Ina uafadhari wa kupangika?