Hapo hadaiwi leseni wala insurance, thus freedom.Na huu ndo usafiri wetu wa kutumainiwa hapa Jijini Arusha
Ona hii punda ya misungwi 😂😂Unfair challenge. Boxers with different weight levels. Mwanza too heavy.
Ona hii punda ya misungwi 😂😂
Wenzio wamssanda wewe Bado unakomaa mbele ya Arusha? Weka picha
View: https://www.instagram.com/p/C6OZxsooc-y/?img_index=3&igsh=eTZrZ2p0MTl3dmhw
Majengo marefu yameanza Leo hapo Arusha?Haya bhana, hili jengo la NSSF la juzi linakupa confidence ( Ni sawa na mkazi wa moshi apige picha jengo la NSSF UCHUMI HOUSE alafu hafananishe Kilimanjaro na Zanzibar). Ikiwa ni kwa muktadha wa uchumi Mwanza wako juu.
Hii sio sababu ya Msingi mzeeFact is Mwanza imeizidi Arusha kwa vitu vingi, hata population ya Mwanza ni kubwa kuliko ya Arusha.
Yap, ndo maana tunabebewa mizigo kwa bei poa kabisa hapa mjini, hapo hamna hata mabao ya traffic🙌🙌Hapo hadaiwi leseni wala insurance, thus freedom.
Population ndio nini ikiwa imejaa maskini?Fact is Mwanza imeizidi Arusha kwa vitu vingi, hata population ya Mwanza ni kubwa kuliko ya Arusha.
Bora ingekuwa ugali,ni michembe na Mihogo wa dodoma 😆😆😆Unataka avimbiwe na kula ugali na furu kila siku 😄
toka ushikishwe ukuta na ngosha wa Mwanza ukageuka kuwa hater wa Mwanza yote na wasukuma wote 😄😄😄, wewe hata ukiambiwa Masasi vs Mwanza utasema masasi iko juu 😂😂😂 chezea kushikishwa ukute wewe🤣🤣🤣🙌🙌Wewe utakuwa umeswagwa huko kuja kutumika Kwa kushikishwa ukuta 😁😁
Mbona hakuna maajabuWewe Zezeta wa Mwanza is Slum,Usilinganishe Arusha na Kimji Cha mafukara .
Here we go 👇 👇
View attachment 3356297View attachment 3356298View attachment 3356299View attachment 3356300View attachment 3356301View attachment 3356302
Maajabu ya Mwanza is big Slum Yako wapi?Mbona hakuna maajabu
Yapo mwanzaMaajabu ya Mwanza is big Slum Yako wapi?
Muonyeshe daraja la busisi uyo azibe mdomo🤣Yapo mwanza
Bora ingekuwa ugali,ni michembe na Mihogo wa dodoma 😆😆😆
Harafu hicho Kijiji Chao Cha Mwanza ndio wanafananisha na Arusha ,ona hizi takwimu hapa ni aibu tupu 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DKglxB5tl9y/?igsh=bXU3eXQ0YTdkYWMw
HahahahaMuonyeshe daraja la busisi uyo azibe mdomo🤣
Sasa kwani kitombile hujaoa hapo thamani ya hyo miradi ya arusha ni zaidi ya mwanzaGharama za hiyo miradi?
Soma hapo Kila mmja umeandikwa thamani yake pembeniGharama za hiyo miradi?