Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 5,354
- 11,108
Hatari sana ila jamaa aliwekeza sana kwenye propaganda,hata humu forum kipimo Cha mtu anayejitambua na kujielewa angalia Kama ni shabiki wa jiwe utaona kabisa jinsi Gani walivyo weupe kichwani na ni washamba na malimbukeni wafuata mikumbo na njaa njaa,Walifanya ukaguzi wa miradi ya hao jamaa ni wizi wizi kwenda mbele , wapumbavu hao walijificha kwenye kichaka cha uzalendo..
Kuna ule upigaji walikuwa wanafanya kwenye kuweka pigment kwenye mafuta kwa kutumia kampuni yao , Serikali umepiga marufuku ila wanawaacha tuu.
Kazi Yao kubwa ni kulia Lia
Anyway Hivi Ile hotel ya Tanapa iliyojengwa Burigi Chato sijui imeisha au nayo imekufa?
Maana Kuna majitu yalijipendekeza mpaka kusaini ujenzi wa White elephant hotel Project kule Burigi Ili yaonekane yanaunga mkono juhudi za kukuza utalii Kwa kina mtu pori
Make my word pale tulipigwa na Ile project itakuja kujifia kifo Cha Mende mapema sana Mimi Kama mdau wa utalii kule walifanya uamuzi wa kijinga na kujipendekeza hakukufaa kujengwe project Kama Ile
Ila kasumba za viongozi wa bongo
Kujipendekeza zitawacost!
