Battle: Magufulians vs Anti-Magufuli

Battle: Magufulians vs Anti-Magufuli

Alikua Mwizi aliyejificha kwenye kivuli Cha Uzalendo uchwara,Hii ilidhihilika pale alipokua waziri wa ujenzi baada ya kuchukua nyumba za Nation Housing maeneo ya upanga na Oysterbay na kuwapa ndugu,marafiki na hawara kwa janja janja za nyani
Yaani kiufupi ni alifoji document Kwa kuzuga kauza kumbe kajiuzia mwenyewe Kwa Bei ya maandazi!

Harafu Sasa alikataa kukaguliwa na CAG prof Assad upotevu wa zaidi ya Tsh trillion 1 zilizopotea kimagumashi na Kwa kutopitishwa na bunge,
Akamuundia zengwe CAG Kwa kumstaafisha chini ya kamati ya roho mbaya wakiongozwa na Kimbunga Jobo wa pale Makao Makuu ya Bunge!

Miradi ya Matrillion kupelekwa kijijini kwao Chato ikiwemo intanational airport ambapo haikuidhinishwa na bunge Wala kukaguliwa na mkaguzi Mkuu wa serikali yaani CAG

Naanza na hayo kwanza nakuja na povu la buku jero kumkandia Nduli Jiwe!
Keep waiting!

Kwaiyo aliiba akagawa, inaonekana alikuwa na roho nzuri sana
 
Shukran mkuu kwa uchambuzi mzuri, nina maswali machache.

1. Hizo nyumba za NHC alizojimilikisha vipi una ushahidi wowote kwamba zipo chini ya familia ya JPM?

2. Muda halisi wa kustaafu CAG ni miaka mingapi?

3. Kwani miradi ya maendeleo ilipelekwa Chato pekee? Je Chato co Tz? Na vipi miradi ya maendeleo iliyopelekwa Dodoma au maeneo mengine unaiongeleaje haikupendelewa?
Akikujibu kwa weledi najitoa JF!
 
01: Magufuli alinunua nyumba ngapi yeye binafsi kati ya nyumba zaidi ya 8,000 alizosimamia uuzwaji wake? Je, sheria haikumruhusu kununua? Je, kama alitenda kosa kisheria, kwanini hakuna yeyote aliyemshitaki?

02: Magufuli amefanya maendeleo maeneo mangapi Tanzania? Je, Chato haipo Tanzania? Rais haruhusiwi kufanya maendeleo sehemu anayotokea?

03: Je, kuna Rais gani wa wakati wetu aliyependwa na wananchi kama Magufuli? Ni Rais gani wa wakati wetu aliyeeleweka kwa wananchi kama Magufuli? Ni Rais gani mwingine wa wakati wetu aliyetegemewa na kupelekewa shida directly na wananchi wa kawaida kama Magufuli?

04: Ni Rais gani wa wakati wetu aliyesimamisha miradi mikubwakubwa kama Magufuli? Ni rais gani amesimamia ujenzi wa miundombinu kama Magufuli? Ni Rais gani wa wakati wetu ameiongoza Tanzania kwa kujitegemea yenyewe kushinda Magufuli?

05: Kuna Rais gani mwingine aliyefanya ziara za ndani ya nchi na kujionea mwenyewe utendaji kazi, siyo kuletewa tu ripoti ofisini, kushinda Rais Magufuli?

06: Je, ni Rais gani wa wakati wetu amekiheshimisha kiti cha Urais na kukirudishia hadhi yake kuzidi Magufuli?

Magufulia ni Rais bora kabisa wa wakati wetu, itatuchukua muda sana kupata Rais mwingine bora na imara kama Magufuli.
Naomba Anti-Magufuli mjibu hizi hoja pasipo matusi tafadhali.
 
Wezi unawafahamu kweli? Wezi wana hisa zao huko Belgium na mijengo S.A na watoto wao wanakula maisha na route za kutosha China-Dubai!
Acha kujitoa fahamu majizi yamejazana pale Lumumba yamevaa jezi za kijani na yanalindana Kwa pesa za milungula na ufisadi mkubwa
Acha kujitoa ufahamu bwashee!
 
Hapendwi na nani? usipompenda wewe mpumuliwa kisogoni na bwana ako ndo watanzania hawampendi? mnapomtukana mitandaoni tumekaa kimya mnahisi nyie ndo wenye nchi sio? kama hapendwi mnahangaika nini kumtukana kila uchao? embu mwambieni mama na wajao waende kinyume na JPM then waone kitachowapata, vyeti vyenu feki na vile hamna cha kufanya mmebakiza kumtukana mitandaoni mnahisi watu wote hawana cha kufanya ta.ahira wewe.
Unapiga tu kelele za Mbwa Koko hakuna utakachowafanya nyie CCM wote ni ukoo wa nyani hakuna wa kumfanya kitu mwenzie kwenye suala la upigaji kwasababu wote majizi tu hakuna mwenye nafuu,acha kuwabebesha lawama wapinzani nyau nyie

Halafu punguza jazba utakufa Kwa presha dude haya kunywa maji!
 
acha kujitoa fahamu majizi yamejazana pale Lumumba yamevaa jezi za kijani na yanalindana Kwa pesa za milungula na ufisadi mkubwa
Acha kujitoa ufahamu bwashee!
Jizi la mitrilion watoto wake wasimiliki mijumba na mibiashara mikubwa au hata ubunge ka Ridhiwani? Jizi la matrilioni asiwe hata na nyumba SA? au hata marafiki wa kula bingo kama wa EPA na ESCROW?
 
Ramaphosa alisema " Magufuli ni rais bora anafaa kuwekwa kwenye kabati"
Na kweli sasa hupo kabatini.

Tafsiri hiyo ni kwa mujibu wa mkalimani.
 
Jizi la mitrilion watoto wake wasimiliki mijumba na mibiashara mikubwa au hata ubunge ka Ridhiwani? Jizi la matrilioni asiwe hata na nyumba SA? au hata marafiki wa kula bingo kama wa EPA na ESCROW?
Tukiwaita nyumbu mnakataa ona Sasa ulivyo zwazwa hivi Kwa akili zako unadhani jiwe hakukwapua mapesa?
Pole sana inaonekana mlilogewa Gambosh ndio maana mmekua vipofu na misukule
Kwa taarifa Yako huyo mzalendo uchwara alikwiba mapesa mengi kufuru jiulize kwanini aligoma kukaguliwa na CAG?
 
unapiga tu kelele za Mbwa Koko hakuna utakachowafanya nyie CCM wote ni ukoo wa nyani hakuna wa kumfanya kitu mwenzie kwenye suala la upigaji kwasababu wote majizi tu hakuna mwenye nafuu,acha kuwabebesha lawama wapinzani nyau nyie

Halafu punguza jazba utakufa Kwa presha dude haya kunywa maji!
Huwa siargue na mibwabwa..dawa ishaingia.
 
Magu alishindwa ku balance mambo yake. Siku zote unapokuwa kiongozi usitake kuwa mtawala.

Kuna tofauti kati ya kiongozi na mtawala. Sasa Magu alijiona mtawala kama absolute monarchy fulani kama Kim Jong Un. Aliamua alilotaka bila kujali miongozo mbali mbali iliyopo kama katiba n.k

Alichukia sana mtu yeyote alieenda kinyume nae (aliempinga) au alietaka kumshauri. Na hili limesababisha akaua watu na kutesa wengine. Kesi zakubambikiwa kila siku. Wenye hela wote walitingishwa.

Japo kuna mazuri mengi pia aliyafanya kama kuwa na msimamo na kutekeleza miradi kadhaa bila kusua sua na uchapakazi mtimilifu lakini alishindwa kujua kuwa katika nafasi aliyokuwepo lazima kuwe na watu ambao hawatakubaliana nae. Hivyo alipaswa kujua kuwa lazima akosolewe na kushauriwa.

Pia ni rais ambae alikuwa anapenda maendeleo ya vitu na sio watu. Ndio maana yeye alikuwa kila siku ni miradi na uzinduzi wa miundombinu tu. Mara madaraja mara barabara, reli n.k.

Alishindwa kutambua kuwa 'standard' way ya kupima maendeleo ni kuangalia GDP per capita. Yani uchumi wa mtu mmoja mmoja.

"GDP per capita measures the economic output of a nation per person. It seeks to determine the prosperity of a nation by economic growth per person in that nation."

Ni ajabu sana unakuta serikali inanunua ndege, inajenga miundombinu kibao lakini hali za watu ni tete wengi per capita income ni chini ya dola moja. Hivi mtu ambae hana uhakika wa kula au kuvaa anaweza kwenda kupanda ndege? Ndio maana ATCL inajiendesha kwa loss.

Ilitakiwa focus ingekuwa kwenye per capita income ili watu wakishakuwa na hali nzuri wanafanya manunuzi biashara zinakuwa serikali inapata kodi na mzunguko wa hela unakuwepo. Baada ya hapo serikali inafanya hizo projects na zinakuwa na tija kwa wananchi na serikali kwasababu watu wata afford kuzitumia kwasababu wana hela.

Tatizo mzee aligoma kushauriwa. Sijawahi kufikiri kuwa nchi hii hatuna wataalamu wa uchumu wenye uwezo wa kumshauri rais. Hata sisi ma laymen tunaobumba bumba tunaweza kuona concepts za kiuchumi rahisi kama hizi.
 
Low IQ kama wewe ndio chanzo cha JF kupoteza ubora wake.

Rudi kijijini kachunge limbukeni wewe, 'shujaa' wako amekwenda, harudi tena.
Heri hata ametutoka hafai kabisa ,tangu 2016 graduates wamekosa ajira mbali na vyeti feki kutolewa kwenye ajira hakuna nafasi zilizojazwa ,ukosefu mkubwa wa ajira hadi leo kasababisha yeye, hivi kweli hata waalimu wa kukosa ajira ?ukienda vijini shule Ina wanafunzi zaidi ya 800 waalimu hawafiki 10,Kuna shule hadi walimu 4 na waalimu wamejaa mtaani bila kazi ,ukienda kwa madokta na manesi ndo hivo hivo.

Wasiojulikana wameua sana watu .
Afadhali Mungu alituondolea hili shetani
 
Low IQ kama wewe ndio chanzo cha JF kupoteza ubora wake.

Rudi kijijini kachunge limbukeni wewe, 'shujaa' wako amekwenda, harudi tena.
Mkuu Hii Mimbugila Ina akili za kushikiwa Aisee Haina hoja inachojua ni matusi tu ndio kawaida Yao maana pale Lumumba yanapewa kozi ya matusi na kulipwa buku Saba za bando kuja humu kupiga kelele na Huwa yana maada yanapewa yaianzishe then yaje humu kulia Lia yanahujumiwa Kama huamini angalia mrengo wa thread na wachangiaji wa mwanzo ndio utajua mbinu zao uchwara Hawa Sukuma Gang
Majinga Sana mchezo ustukie!
 
Low IQ kama wewe ndio chanzo cha JF kupoteza ubora wake.

Rudi kijijini kachunge limbukeni wewe, 'shujaa' wako amekwenda, harudi tena.
Hehehe..alikuambia lini na wapi angeishi milele taa.hira wewe?
 
Teh teh..mlomwita mshamba anawatesa sana japokuwa kalala usingizi wa milele.
Mshamba alijiona mungu mtu na akataka kutawala milele, mwenye ufalme wake akamuonesha nani mkubwa.

Hii story inanikumbusha firauni mfa maji aliyejiona ni zaidi ya mungu.
 
Back
Top Bottom