Battle: Magufulians vs Anti-Magufuli

Battle: Magufulians vs Anti-Magufuli

Dah TRA wameacha kutusomea mapato lakini maloli yamefunga njia zote kuanzia bandalini mpaka mikoani,namba mpya za magari leo nimeona DXE.zinakimbia hatari.
 
kwahiyo hapo wewe umejibu kikubwa au sio
Aiseee kwahiyo wewe Kwa akili zako timamu kabisa ukaamini Tanzania chini ya jiwe imepaaa kiuchumi kuliko awamu yoyote Ile?
Ama kweli haya ni maajabu ya Karne!
Tatizo unajibu huku ukiwa na hasira sanaa, relax kwanza alafu tuendelee kumjadili huyu Rais bora kuwahi kuishi Tanzania.
 
mfateni makaburini huko mwehu yule

mnajua kabisa no one likes him at all...mnapiga madomo tu hapa

aliekua anawapa ugali kafa na ugali....sasa hivi njaa mpaka matakoni..muulizeni bashite
Most of us liked him.
 
Mema ya nchi wapi nyie vigeu geu hao waliowapa Hizo takwimu si ndio mliwaita mabeberu iwaje Tena mkaamini takwimu zao?
Ile ya uchumi wa kati ilikua kejeri Kama kejeri nyingine na nyie mkaingia mkenge kushangilia takwimu hewa!

Haaahaahahah MATAGA pori mna vioja sana!
Utafiti hupingwa na utafiti.

Tafiti za serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia zinaonesha Tanzania ilifikia uchumi wa kati 2020.

Ukitaka kupinga fanya utafiti wako utuletee credible data. Tofauti na hapo huo ni uchawi.
 
  • Thanks
Reactions: nao
haya tufanye walikua wakweli huo uchumi wa kati unao apply kwenye makaratasi bila uhalisia mbana hatuuoni Ina maana umeporomoka ghafla baada ya mwendazake kwenda na upepo?
Makaratasi yame-document uhalisia uliopo kwenye maisha ya kawaida. Halafu lini uchumi umeporomoka tena? Unajua hata unachokiongea, au unafanya speculations tu?
 
Kwa kifupi yapo Mema aliyofanya ambayo hata kama tulimchukia huwezi kuyakataa au kuyapinga! Kama alivyosema tutamkumbuka kwa mema aliyofanya.
Lakini all in all hatunaye hata tungemsemaje! Kama Taifa tusonge mbele na Mama yetu ili mradi tufikie.
 
kwahiyo hapo wewe umejibu kikubwa au sio
Aiseee kwahiyo wewe Kwa akili zako timamu kabisa ukaamini Tanzania chini ya jiwe imepaaa kiuchumi kuliko awamu yoyote Ile?
Ama kweli haya ni maajabu ya Karne!
Tuthibitishie Tanzania haipo uchumi wa kati.
 
Dah TRA wameacha kutusomea mapato lakini maloli yamefunga njia zote kuanzia bandalini mpaka mikoani,namba mpya za magari leo nimeona DXE.zinakimbia hatari.
• Ni lini magari yaliacha kununuliwa?

• Ni lini malori yaliacha kusafirisha mizigo?

• Ni njia gani hizo zilizofungwa?
 
Kama naelewa hivi kwa mbali.
Hhhhhhh...muuza ngada na shog.a leo anauwezo wa kutambua nani punguani, maisha yanaenda kasi sana..asompenda Magufuli ni teja, mwenye vyeti feki, fisadi, shoga, kibaraka wa mabeberu, mwendawazimu....
 
mimi ningekuwa nakufahamu ninhekupiga shaba ,,aheri nifungwe kuliko kukaa na kirusi cha kinafiki kama wewe.Sasahivi serikali yako unayoisifu Imevunja biashara za machinga...wakati haito ajira wala hawajawqtaarifu watu watoe bidhaa zao
 
Tatizo unajibu huku ukiwa na hasira sanaa, relax kwanza alafu tuendelee kumjadili huyu Rais bora kuwahi kuishi Tanzania.
UNACHOKOSEA HUWEZI KULETA DEBATE huku ukitetea majibu na upande wa Mwendazake, wakati Mkit wa CCM alishasema jamaa katokea mirembe Dodoma
toa Mada halafu kaa pembeni usitetee upande wako
km MADA ni kumsifia Magufuli basi hakuna haja ya kutuita na sisi aliotuharibia Future kwa kuwabeba wasiolipa Kodi km Wamachinga halafu akaingia account za watu km kina Kabendera, Rygemalila, Harbinder sigh nk

Machinga wasilete siasa waondolewe haraka miji yote Tanzania​

soma kwanza hiyo hasara aliyotuletea ndio tukuambie na Wizi alioufanya licha ya kuweka Ndugu kwenye Baraza la Mawaziri na Kabila lake
kuwapunguza kwa sasa ni ngumu na hatari kwa Mama hata huko CCM
 
Makaratasi yame-document uhalisia uliopo kwenye maisha ya kawaida. Halafu lini uchumi umeporomoka tena? Unajua hata unachokiongea, au unafanya speculations tu?
hivi wewe jamaa ni raia wa nchi Hii kweli au umeamua kujitoa fahamu aliyesema now tunaenda kuifungua nchi baada ya mazishi ya Mwendakuzimu jiwe ni nani?
alikua na maana Gani Kawaambia watanzania maneno Yale?

Alijua kabisa maswala ya uchumi wa kati yalikuwa propaganda na akaamua kuweka wazi Hali halisi

Ila sishangai Sukuma gang kujitoa fahamu maana ndio misukule peekee ya jiwe mliobaki wenzenu walishasanuka kitambo walijitoa Kwenye ujinga wa kua Vipofu wa macho mpaka fikra!
 
kapige shaba matako yako

ni kwamba lile jamaa ni limfu zoefu huko makaburini..mpelekeeni matako huko huko

kafa na ugali wenu,sasa hivi mna njaa hakuna wa kuwabeba na familia zenu

na alaaniwe yule amtegemeae mwanadamu....ndio kafa sasa...kuleni mavi!
Hilo jamaa ni MATAGA kweli kweli yaani linaalili za Kikolomije eti ningekua karibu ningekupiga Shaba ama kweli wafuasi wa Mwendakuzimu wamepandwa na wazimu
😂😂😂😂
 
Tatizo unajibu huku ukiwa na hasira sanaa, relax kwanza alafu tuendelee kumjadili huyu Rais bora kuwahi kuishi Tanzania.
Ni kweli alikua Rais Bora Kwa misukule na manyumbu Kama nyie ila wenye ufahamu na akili zetu timamu na sio za kushikiwa Kama nyie ndio alikua Bora,
Kwanza hapa najipa kazi ya kubishana na Mnyonge

Kati ya watanzania wanne Mmoja ana ugonjwa wa akili
Na ndio maana jamaa yenu alikua na file lake special Milembe
Aliwateka vichaa wenzake Kwa propaganda uchwara!
 
Mema ya nchi wapi nyie vigeu geu hao waliowapa Hizo takwimu si ndio mliwaita mabeberu iwaje Tena mkaamini takwimu zao?
Ile ya uchumi wa kati ilikua kejeri Kama kejeri nyingine na nyie mkaingia mkenge kushangilia takwimu hewa!

Haaahaahahah MATAGA pori mna vioja sana!

Hapa umehamisha goli wazi wazi!!!
 
Back
Top Bottom