Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii kawatupia Wakenya yaan wanazani Corona haitembei Usiku๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Katika majirani waliotuzunguka comoro na burundi wako poa kuliko mfano,hao wacomoro wakikanyaga TZ wanajiona ni nyumbani kwao kabisa

Sana mkuu, Nilikua na Mburundi flani nchi flani, yaani ilikua kama tumetoka nchi moja, kulikua na Ukuta kila mtu anaweka chata la nchi yao, yeye alichora bendera ya Tanzania [emoji23]. Waburundi wapo safi Sana at least wale niliowahi kutana nao.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ