Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tusisahau kwenye sgr apart from EMU 5 kuna order ya behewa 60 za abiria kwa ajili ya treni ndefu, hili ndio lile ambalo likiunga behewa zake linaweza cover platform yote, kwa nchi za wenzetu haya ndio yanapiga route ndefu with limited stops, hili linaweza ondoka dar kituo kinachofuata moro kisha Dom, manyoni, tabora, shy na mza, nimetolea mfano tu kuhusu vituo sio lazima iwe hivyo.
 
Ndio na nynyi mjini kati mtabaki kuona majengo ya serekali tu

Sent using Jamii Forums mobile app
maana nyinyi hamuishii kuona majengo ya investors๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wanakuja wanashika uchumi munabakia kupika mpaka mawe๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

investor anachukua ardhi ya rutuba anapanda maua anauza kwao nyinyi munabaki kuhangaika na njaa kila mwaka
 
Kinachoshangaza watu wanaona kila kuchao wa makabila tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
faida ya capitalism ni hii๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ wachache wenye akili na madaraka wanapiga pesa za umma mara mbili mbili alaf majority munabaki kupika mawe๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ watu wamepiga 8.1b ksh alaf wameomba tena mara ya pili same amount wapige tena

 
labda funds za mkoa
sema unafadhiliwa na serikali kuu! Serikali ya Mkoa wa Geita sidhani kama ina funds kiasi hicho! Uwanja wa watu 80,000 ni kama wa Mkapa Dar! Mie nawashauri wamalizie ule uwanja wa Ndege na pia wajenge Hospitali ya Kisasa kama Mloganzila for medical tourism kama inalipa na proximity to DRC, Rwanda and Burundi itaifanya isikose kujiendesha vizuri ! Au hata technical university! ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Kuwapumbaza na Kuwanyamazisha wasione wala kuongea inabidi utafute common enemy kwa kujenga nationalism iliyopitiliza yaani kama sasa media zao zinavyocheza na story za Coronavirus inasambazwa na Watanzania wakati Mchina ndo aliingiza Kunyaland coronavirus! Wajinga ni wali wao siku zote!
 
Watanzania huwa tunawaza vitu vikubwa na vya maendeleo mpaka raha Viva Tanzania[emoji1241]
Ni magufuli kafanya sasa watanzania tuna uthubutu wa kuwaza hivi kwa mambo ambayo zamani yalionekana impossible kwa Tanzania, sasa magufuli kafanya possible

Ndio maana watanzania tumeshajijengea tabia kwamba kwa sasa kila kitu kinawezekana, viva JPM viva Tanzania

Zile kauli za JPM kwamba Tanzania tunaweza sasa zimezaa matunda kwenye fikra za watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ