Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanzania huwa tunawaza vitu vikubwa na vya maendeleo mpaka raha Viva Tanzania[emoji1241]
 
Hakuna linaloshindikana broo ni kujipanga tu na ku think big, Afrika tumeshathibitisha kuwa tunaweza, km wao wanaweza japo %kubwa ya mali wanazitoa huku itakuwaje cc wenye mali
Kila kitu kinawezekana ni suala la kuthubutu japo itatuchukua muda mrefu kutokana na uchumi wetu. SGR ikifika Kigoma tunaweza kutengeneza meli kubwa ya mizigo ambayo itakuwa inabeba container za kutosha kama njia ya mpito wakati tukijipanga kwa kushirikiana na DRC kujenga daraja kama itaonekana ni economically feasible huko baadae. DRC ni market kubwa sana kwenye sekta ya usafirishaji wa mizigo kwa nchi yetu kuliko hivi vinchi vidogo tunavyoviongelea sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…