lol kuna huyu ndezi komora096 alikua anafananisha umaarufu wa JPM na takataka gani sijui huko Nairobi inaitwa johoMwendo wa kiswahili watatafsri wenyewe. Kama huna mvuto hata uongee kiingereza kushinda Queen hamna atakaye kusikiliza.
Unaijua hii, inaitwa Eurocopter H225 ni mali halali ya Tz ucje sema ya Pompeo[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Imagine Kenya police iko na helicopter poa kuliko army ya danganyikas
do you smell something here?
hiv Tanzania kuna vitu gan tunavitegemea kutoka kenya? (just a simple qn, no need to argue)
Kama hutaki kupimwa unarudi na mizigo yako hakuna kubembelezanana huu ndio ukweli [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Bla bla mingi, simply tu Kenya demand ni kubwa sababu they are lazy lame asses, can't workalot man, infact most farmers wanapenda kuuza kenya because of the prices are abit higher for the same products when you sell within tanzania, kenya is like an economic room for most east africa countries, hata uganda nao wanauza kenya, nmetolea mfano tu wa mazao but the exchange contains much more than we can think hata precision air is largely owned by kenyans! i understand the amount of hate but reality is reeality why would we hate them
Ispokua ushabiki wa kitoto treni hizo mbili hazina tofauti kubwa
VS
unapaswa unyamaze mzee!
Ujinga unakusumbua.
Pia ya kwao ni diesel train. Yetu ni ya umeme na inatumia batteriesHiyo ya tz in speed kubwa,latest design wakati ya Kenya ni muundo wa zamani
Sent using Jamii Forums mobile app
SawasawaPia ya kwao ni diesel train. Yetu ni ya umeme na inatumia batteries
Hebu angalia max speed ya hizo vichwa viwili utaona difference si kubwa kama nilivyosemaHiyo ya tz in speed kubwa,latest design wakati ya Kenya ni muundo wa zamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu angalia max speed ya hizo vichwa viwili utaona difference si kubwa kama nilivyosema
Sent using Jamii Forums mobile app
Usihangaike na huyu. Hajitambui. Hajui hata characteristics za treni zetu za umeme halafu anakuja kulinganisha na mitungi Yao yenye sura kama barakoa. Yetu ni 160km/h ya kwao ni 80km/h na bado mtu anakuja kulinganisha si Ni ujinga huo. Napenda treni hizi za umeme kwasababu pia zinaminimize pollution. Umeme unakuwa sourced from hydroelectric power na gas. Pia battery zinatunza energy ya kutumia unlike our dumb neighbors who still use diesel
Usihangaike na huyu. Hajitambui. Hajui hata characteristics za treni zetu za umeme halafu anakuja kulinganisha na mitungi Yao yenye sura kama barakoa. Yetu ni 160km/h ya kwao ni 80km/h na bado mtu anakuja kulinganisha si Ni ujinga huo. Napenda treni hizi za umeme kwasababu pia zinaminimize pollution. Umeme unakuwa sourced from hydroelectric power na gas. Pia battery zinatunza energy ya kutumia unlike our dumb neighbors who still use diesel
Difference ya speed between izo vichwa viwili haijapita 20km/h (note ya kenya inaeza kua upgraded na speed kuongezeka)Sio appearance tu ya Tanzania ni latest design,high speed,inatumia umeme,ina betri na pia muonekano mzuri pia unatakiwa kwa sababu ni ya kisasa.
Sent using Jamii Forums mobile app