Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vituko gani we bi mdogo? Vituko ni kununuliwa na wachina hivyo vichwa vya mbogo vya karne ya 19 wakati tupo katika karne 21. Mchina kawafanya mazombi kwelikweli. Na kwa hiyo kujenga reli ambayo haitumii umeme ndio mmeangalia mbali au siyo? Ndio maana nakwambia mna akili za chag'aa I see!
 
Mwendo wa kiswahili watatafsri wenyewe. Kama huna mvuto hata uongee kiingereza kushinda Queen hamna atakaye kusikiliza.
Huu mwaka Magu amezidisha umaarufu wake binafsi na wa nchi, haina English hapa mwendo kiswahili tu, watatafuta dictionary km hawataki wasifatilie yetu wabaki na yao[emoji3][emoji3]
 
Unaongelea treni wakati hata kichwa kimoja hamna..
Halafu bado sijaona point ya msingi, ni kuhalalisha tu ndio unataka ili tuone kujengewa tofali halafu unaekeza singenge ni bora

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…