Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mumezoea sana appartment sindio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116] yani hamuna maisha zaidi kukodisha sasa kila munachokiona ni appartmentView attachment 1448371
Si hzo ni appartments tu jomba mbona tena unabadili gear...

Yani mara ya kwanza ulipiga picha hilo jengo la kwanza ukafikiria nitashtuka[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si hzo ni appartments tu jomba mbona tena unabadili gear...

Yani mara ya kwanza ulipiga picha hilo jengo la kwanza ukafikiria nitashtuka[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha unaona sasa akili yako ilipoishia hahahaha kwamba kila kitu kwenu ni appartment ndoto ya kumiki ardhi hamuna na hamutakua nayoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…