Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya hakuna slum yoyote inayo fanana na eneo lolote hapa tz hata tukikuambia tuletee picha ya makazazi duni inayo fikia slum za Kenya huwezi tuletea ndiyo maana wakenya walikuwa wakija tz tunawakalibisha majumbani kwetu ila tulikuwa tunashangaa kwanini tukienda kwao Kenya hawataki kutukaribisha makwao sembuse kukuonyesha wapi wanaishi ,hadi jf ilipo tufumbua macho kuwa jamaa wanaishi kwa slums mfano nairobi 82% ya watuwake wana ishi kwa slum

Send by APOLO 1
 
Wewe ujui slum za Kenya ,,,, 82% ya wakaazi Wa nai wanaishi kwa slum ,slum zenyewe ni bora hata mabanda ya nguruwe ya tz

Send by APOLO 1
 
Hawa wengine tusiwe tunawajibu mkuu, we angalia tu comment yake zen achana naye, cz naye pia ana haki ya kuchangia, cc tuendelee na yetu mkuu.
Hajui sehemu pekee hapa tz zinazo fanana na slums za Kenya ni kwenya madampo

Send by APOLO 1
 
Compare madaraja ya Ethiopia na Kenya uone hakuna tofati,yote yamejengwa Ku support poles za umeme kwa kijisehemu nime circle,,
Ethiopia


Kenya

 
After the project plans are underway, wacha panganga
Construction news | products | companies | projects | events | machinery | equipment | services โ€บ ...
Web results
Kenya's plans to electrify US $3bn Standard Gauge Railway (SGR) begins
Sasa umeona hiyo Pesa ilivyo nyingi $3bil !? Ndiyo huamini maneno yangu kwamba itabidi mvunge kofia za nguzo za madaraja mlizo jenga mwanzo na kuweka pana kufoji eneo la kuweka Umeme na maandaki yenu inabidi mya bomoe kuyafanyia marekebisho makubwa ndiyo maana hela imekuwa $3 bil la sivyo mngetumia kama $1bil tu kuweka Umeme kama isingekuwa hayo marekebisho

Send by APOLO 1
 
Nani alisema SGR haiwezi wekwa umeme???
SGR yenyewe imeishia machakani white elephant hamuna tena ndoto ya kuweka umeme mark my words na hamutakua nayo mpaka yesu ashuke๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
katika comments zinazooensha kukata tamaa na wivu ni hii yako wewe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ