Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ziko wapi zile 'electric train' hewa za kutoka dar mpaka moro ???
 
football kidogo:
mimi ni shabiki wa simba sc,sina uzalendo wa kuishabikia yanga hata kama inacheza na timu ya kenya.

katika hii game ya leo,naomba afc leopard waifunge yanga.
 
football kidogo:
mimi ni shabiki wa simba sc,sina uzalendo wa kuishabikia yanga hata kama inacheza na timu ya kenya.

katika hii game ya leo,naomba afc leopard waifunge yanga.
Alaf?
 
ziko wapi zile 'electric train' hewa za kutoka dar mpaka moro ???
kwan nyie mlijenga kwa siku kumi simumejenga 3.5 yrs to 4 yrs au???????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
yaonesha electric train zinakuumiza sana kichwa bwana mdogoπŸ™„πŸ™„
 
its a wrap!!! two of the greatest football clubs in East and Central Africa i.e Afc and Gor (probabaly) will face off in the finals
πŸ˜€
 
kwan nyie mlijenga kwa siku kumi simumejenga 3.5 yrs to 4 yrs au???????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
yaonesha electric train zinakuumiza sana kichwa bwana mdogoπŸ™„πŸ™„
naomba uzi wake pls kama uko. nataka nijue kuhusu progress yake maana tangu tarehe moja mwezi Mei... niliskia Magu alirusha kijiwe pale na kusema ni kijiwe cha msingi na tusiwe na hofu kwani pesa ziko.
tokea hapo niko kwenye giza aisee....
kulikoni???
 
Nakuru watapiga Gor Mahia Fc team yangu..........but we might have a mashemeji Derby in a foreign land. ...how interesting. ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…