ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
😂😂😂😂 wajaribu wadanjeNa border wamefunga sasa itakuwaje? Itabidi wale hivyohivyo! 😕😕
😂😂😂😂 wajaribu wadanjeNa border wamefunga sasa itakuwaje? Itabidi wale hivyohivyo! 😕😕
Wanaumia sn 😀😀 sema ni battle tu wanajikaza,kwani komora ni mkenya pekeake humu maana dah kama namuona akizima na kuwasha data wakati💉💉💉💉💉 ikiingia
Tupo vzr sn kwa ss mkuu hawa ndege tatu cjui wanatoa wapi ujasiri wa kupambana na Tz 😀😀😀nimebahatika kupanda zote, dreamliner kwenda SA na airbus kwenda Mwanza na kurudi nayo Dar, dreamliner ni ya ukweli.. afu dah hata sijawah kupanda Dash 8-Q400
Unachanganya mambo itakayoagizwa ni 767-300F for cargo! Muwe mnasoma maelezo!Hii hapa 👇👇 inaitwa B767-300😀😀😀
Acha bana wee. Za Mwanza Kama Kama Kakamega vile.mwanza hvi vitu utachoka wewe😂😂👇👇
View attachment 1440826View attachment 1440827View attachment 1440828View attachment 1440829
Barabara moja katikati ya vibanda ndiyo mwaringia!? Ushamba kweli. Bado sana hata Uganda mbele yenu badoJirani mnataka battle na Tz mna msuli??😀😀😀
umetoka mombasa uneanza kupost hoteli za kakamega sasa😂😂😂😂😂😂 mombasa zimeisha tayarAcha bana wee. Za Mwanza Kama Kama Kakamega vile.
View attachment 1440992View attachment 1440993View attachment 1440994View attachment 1440995View attachment 1440996View attachment 1440997View attachment 1440998
kitu kizuri ambacho hamuna kisifu tu hata kama unaumia😂😂😂Barabara moja katikati ya vibanda ndiyo mwaringia!? Ushamba kweli. Bado sana hata Uganda mbele yenu bado
musoma😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿Acha bana wee. Za Mwanza Kama Kama Kakamega vile.
View attachment 1440992View attachment 1440993View attachment 1440994View attachment 1440995View attachment 1440996View attachment 1440997View attachment 1440998