Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

uhehehe leo mapovu yamekutoka πŸ˜‚πŸ˜‚ eti mzungu aje kushangaa nini hawa wazungu wanaokuja kushangaa slum ni vipiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡
wazungu wameigeuza kibera kua national parkπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ over 80% mko slum alaf munashindana na dar😁😁 utawachukua miaka 300
 
Waiweze wapi basi hyo mombasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Nionyeshe hizo vibanda I have circled in red Ziko wapi kwenye ile screenshot ya ichoboy. Mbona unashindwa na kitu rahisi hivyo?View attachment 1437938
Mbn unaweweseka, hii picha nimeipost mm apa na nimekuambia kwnz kubali kwamba hii ni Parklands mana mwanzo nilipo post ulikataa kwamba co Parklands, kwnz kubali zen ndo uniulize slums ziko api acha wenge [emoji3][emoji3]
 
ananiletea dharau za kikabila hapa [emoji23][emoji23] anachukulia kila mtu simple tu humu ndani
Wana maisha magumu sn wakenya, nchi yao kila siku mabalaa hayaishi lkn bado wanataka kushindana na nchi yenye baraka zote toka kwa Mungu never[emoji3][emoji3]
 
Wana maisha magumu sn wakenya, nchi yao kila siku mabalaa hayaishi lkn bado wanataka kushindana na nchi yenye baraka zote toka kwa Mungu never[emoji3][emoji3]
sijui mwaka wa mwisho kusikia cholera ilikua mwaka gani hata burundi sijasikia neno hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…