Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilishamwambia kijikonyama haifiki hata level ya parklands ila hasikii
 
hvi wewe unafanya humu watu wapuuzi sana au sio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe ndio mpuuzi... Nionyeshe hiyo slum Mwenzako anasema iko parklands kwenye hiyo screenshot umeleta hapo juu. Ubaya ni kujifanya unajua Nairobi kutuliko sisi wenyeji wakati wewe unaishi gongo la mboto kwenye dream house
 
nilijua cholera imeisha duniani kumbe ipo bado aisee kumbe kuna nchi zipo 19th century

Af soma maelezo hapo kwenye tv eti vituo vya afya vyalemewa na idadi kubwa ya wagonjwa wa cholera Dah aibu sn, yn 2020!!![emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wewe ndio mpuuzi... Nionyeshe hiyo slum Mwenzako anasema iko parklands kwenye hiyo screenshot umeleta hapo juu. Ubaya ni kujifanya unajua Nairobi kutuliko sisi wenyeji wakati wewe unaishi gongo la mboto kwenye dream house
mm nimekuonesha misitu au πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mimi nina nyumba ambayo itakuchukua miaka300 wewe kumiliki mbuzi wewe
 
[emoji3][emoji3][emoji3], green spaces huku zipo vijijini tu, town utakutana na mti mmoja mmoja tu, mana towers nyng
 
Kumbe alicrop kama kawaida yake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Parklands borders Muthaiga, the leafy side as you can see in that picture. There's no slum between parklands and the leafy side Muthaiga which you can also see in that picture. Swali ni kwamba: zile vibanda zilikuwa Kwa ile picha ulileta zimepotea wapi kwenye hiyo screenshot ya ichoboy? Where is the slum you were talking about in that screenshot??
 
[emoji3][emoji3][emoji3], green spaces huku zipo vijijini tu, town utakutana na mti mmoja mmoja tu, mana towers nyng
Towers nyingi??? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ niletee hizo towers tuone na zisiwe kutoka cbd, Upanga, na kijikonyama coz those are the only places Najua kuna majumba marefu Dar
 
Kwnz kubali kwmb hii ni Parklands zen nkuoneshe slums huenda nakulaumu bure kumbe uko shortsighted [emoji3] [emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…