Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani hupajui kakaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‰πŸ˜‚πŸ˜‚ mie nije nikuonyeshe? Ngoja corona (kolona) iishe nije nikutembeze hiyo fishing village yenyu.
taja hapo ni sehemu gani dar πŸ˜‚πŸ˜‚ unafkiri kuna mabanda ya nguruwe huku yani mzungu asione mabanda uone wewe 😁😁😁 utasubiri miaka 300
 
hahaha sasa hii unataka fananisha na ilala auπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ aisee munakazi sana nyinyi
 
Ukweli ni ule ule, Dar dwellers over 70%., kwa sasa kama vile taarifa ilinakili, ni slum dwellers., Kibera is what % ya Nairobi (populationwise)?.,pambana na hali yenyu (haswa yako).
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Kwa hiyo kwa akili yako hiyo kiduchu ulitaka rais awambie wasichape kazi kisa yeye yupo likizo? What a low mind is this!😳😳😳
imewauma sana magu kutofunga mipaka yani wamepigwa bao la kisogoniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
wanahangaika na mgufuli wakat matatizo kwao ndio yameanza πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Huyo ni slum addicted

Send by APOLO 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…