Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pongezi, mumeondoa wangapi slums kwa sasa?., πŸ‘πŸ‘πŸ‘
tafuta slum kwenye google earth kama hii ukipata nitagπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ ili nijue ww na mzungu nani anaakili
 
i see upper hill πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ au nimedanganya
Kila siku hapa unasema eti unajua Nairobi. Ni Nairobi gani unajua Kama hujui kwamba ukiwa Nairobi West unaona Upperhil yote? Nairobi West na Upperhil zimekaribiana kijana wa tandale so ukipiga picha ukiwa Nairobi West lazima itashika Upperhil, just the same way ukiwa Upperhil ni lazima camera ishike parts of Nairobi West if you are facing that side. This one below for example is a photo taken from uperhill but showing sections of Nairobi West
 
tafuta slum kwenye google earth kama hii ukipata nitagπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ ili nijue ww na mzungu nani anaakili
View attachment 1437707
Ukweli ni ule ule, Dar dwellers over 70%., kwa sasa kama vile taarifa ilinakili, ni slum dwellers., Kibera is what % ya Nairobi (populationwise)?.,pambana na hali yenyu (haswa yako).
 
Wagoogle kwenye nchi zote za africa wanazoziita LDC waone kama kuna hayo mabanda ya nguruwe lakini wanaishi watu katikati ya jiji. Tena wengine asubuhi wanatoka kwenye hayo mabanda ya nguruwe wakiwa waamevalia suti utadhani wanatoka kulisha nguruwe kumbe ndiyo home kwao. ONLY IN NAIROSLUMS!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…