Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ni kweli lkn kuna namna watu wanapungua kwa kufariki kimya kimya, nina ndugu yangu anasema rafiki yake amefariki Amana jana, uchumi unaendelea vizur lkn tuhuthibiti huu ugonjwa, pia sisi wenyewe tujikinge kwa kuvaa masks kila siku
sio kila anaefariki ni corona kwan vifo havikuwepo kabla ya corona??? au kabla ya corona palikua hakuna maradhi yanaua watu, hebu tufikiri kidogo hapo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kojoa ulale hakuna sehemu yoyote nairobi yenye density zaidi ya misitu
Bwahahaaa..nairobi tayari kuna kariakoo nyingi sana...
Narudia tena, dar sehemu zilizojengeka ni cbd, kariakoo na upanga..

Yani kw ukubwa wote ule halafu maendeleo yapo kiduchu hvo...kweli mna safari ndefu[emoji23][emoji23][emoji23]

Km unabisha niletee sehemu iliyojengeka zaidi ya hzo tatu..povu rukhsa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hebu tuoneshe hzo kariakoo ndani ya nairobi tuzione๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hio upanga ina density kubwa zaidi ya CBD + westland + upperhill combined hehehe alaf unazungumzia kariakoo ndio kabisa hugusi hata ukucha
 
Sasa ndio uipeleke hyo taarifa kw wizara waanze na wale wa corona..
Wakipona ndio itakua ni vyema zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyo aliefariki jana alikuwa mzima, amepata shida ya kupumua siku mbili tu za nyuma jana ndo kafikiwa na umauti,

kama haijakutokea utaona kama ni utani, ila likikutokea ndo utaamini. mim mwenyewe nilikuwa naona ni utani
kuna pumu, kuna nimonia, kuna TB etc au zilikua hazipo kabla ya corona???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ