Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kuna sehemu inaitwa ilala sharif shamba huko kuna nyumba za adabu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡subiri nipate muda nipite huku nikuletee nyumba za adabu hapa
 
umesema inagorofa ngapi??? upperhill inagorofa ngapi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ushuzi wa mende
Unalinganisha Upper hill na Kijitonyama??? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚. Nilishakuambia ukojoe ulale
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mshauri mwenzio munamatatizo kibao yakupambana nao bado locusts wanawasubiri bado njaa kuna landslide alaf kuna corona juu alf munakaa hapa nye nye nye sijui tanzania
Kwhyo kwako furaha kw wale jamaa kukosa makao kisa mafuriko...sasawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unalinganisha Upper hill na Kijitonyama??? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚. Nilishakuambia ukojoe ulale
upper hill ina nn ina density gani??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚maskini ya Mungu munakazi sana bado
 
mji hauna maji alaf wako bzy kushindana hapaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…