Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vitu vidogo lakini vimekusumbua mwezi mzima!? Kenya hilo si ajabu. Huenda unajaribu jutuajabisha, kwa taarifa yako hamna lolote hapo.


 
Mwalimu wanjara jaribu kuwa mwelewa, saivi tunatakiwa kupost vitu vipya co kila cku unazunguka zunguka mitaa hyo hyo ya cages kwa kutaka kuaminisha watu kwmb banda za kuku zipo kenya nzima.
Narton amepost vitu vipya kabisa havijawahi letwa humu so na ww leta vipya km unavyo.
 
The kind of politicians in our Bunge!


Halafu huyu fala ana ulimbukeni na Kenya haachi kuitaja sijui kwa vile anatoka mpakani! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ☝ ☝ ☝
 
Vipya vipi!? Tumemuelimisha hapa kuwa hayo si mapya wala mageni hata humu. Yeye basi awe mgeni.
Vijumba anavyo post vidogo si vya kutosha kujazia uzi.

Ona majumba kama haya Kenya, sasa tukianza kupost moja moja!!!?
 

Attachments

  • IMG_20200430_181757.jpg
    61.1 KB · Views: 24
The kind of politicians in our Bunge!


Halafu huyu fala ana ulimbukeni na Kenya haachi kuitaja sijui kwa vile anatoka mipakani! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji121] [emoji121] [emoji121]
Njaa inawasumbua pia tatizo kubwa kwa ss ni Jpm anafanya kwa vitendo yale yote waliyokuwa wanayaongea so anatishia vibarua vyao, siasa ya Afrika ni unafki mtupu na ndiyo maana huwa nawaza kwmb demokrasia imeharibu mambo mengi sana Afrika cz tumeipokea bila kuielewa, demokrasia haiwezi ku operate kwny njaa, hata nchi zilizoendelea zilisubiri njaa imeisha ndio ikaingiza demokrasia, c umeona madhara ya demokrasia kenya, kila mtu mjuaji, kila mtu anataka ifanyike anavyoona yeye, unadhani kuna kuendelea hapo? Km mnataka maendeleo ya kweli ni lazima mko concentrate power kwa mtu mmoja mnayemwamini zen wengne mkubali kuwa wajinga kwa kipindi fulani ili mvuke, hata China iko hvyo, hata Amerika ilikuwa hvyo na co kila mtu mjuaji, ukiuliza eti tuna haki ya kui question serikali yetu, pumbavu mtasubiri sana nawaambia, cc tuacheni na ujinga wetu but we are on the right track.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…