Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

To make it simple for you, download GETTYIMAGES app, then search any these "Nairobi, Nairobi City or Nairobi slum" you will see those pictures with their titles, the only thing that app won't allow you is take a screenshot but you can download them

aint nobody got time for dat.
 
To make it simple for you, download GETTYIMAGES app, then search any these "Nairobi, Nairobi City or Nairobi slum" you will see those pictures with their titles, the only thing that app won't allow you is take a screenshot but you can download them
weka link apa kila mtu afungue aone io ni nairobi.
kumbuka ile picha ya kwanza was badly photoshoped. jengo la Times Tower lililojengwa 1994 pia haikuwa inaonekana
 
Let me ask about JKIA airport ..does it have air bridges to support airbus a380?
 
This is Dar..and that's Akemi ..revolving restaurant
 
ni kama vile niokote izi picha kwa internet kisha niseme ni dar na wala sio dar ni Mwanza, Tz. View attachment 520868 View attachment 520871
lakini hizo picha za Delbert hazipatikani Kenya nzima
Lewis254 ushawahi kuona picha za makazi ya watu Brazil milimani kama Brazil ipo hivyo sembuse bongo.Lakini nadhani unajua kenya mpo list ya kuwa na slums kubwa duniani mkiongozwa na brother yenu India
 
yeah The Favelas of Brasil... ni sawa na kama ivo vibanda vya Mwanza.
Kibera is rapidly changing btw. in a 3yrs time utakua unaona 6storied buildings instead.
 
Mkuki house Dar..over 150 stores,5 cine cinemas, ice rink,I play centre and Bounce trampoline park and conference center
 
huoni vile tunaringiwa sidewalks tukiambiwa "hii ni bongo ya 2017"...hehehe
Hahahahahah! Kuna moja nimeona nikacheka sana! "Eti waonee huruma" Ukiangalia ni pavement ya cabro blocks Surely hawa jama wetu huenda ni vile hawajaona mambo mengi! Daaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…